Search results

  1. B

    Shughuli gani ataweza fanya aliyesom 'Bachelor of Science in Physics (BSC-PHYS)'?

    Ni vema abaki tu kwenye ndogo yake na asikimbilie kuchepuka, kwa kuwa muda umepita avumilie mpaka mwakani halafu aombe upya MD wakati huo huo aombe na diploma ya clinical medicine ili asipochaguliwa tena MD aianzie diploma
  2. B

    Bachelor of technology in laboratory science ajira unaweza kupata kwenye nyanja gani

    unaweza kufanya kazi zozote za kiutalamu katika maabara zote in exception of medical laboratories; maabara ambazo mtaalamu huyo anaweza kufanya kazi ni kama za viwanda(vya maji, madawa, vyakula, rangi, nguo, n.k) , shuleni, vyuoni, research laboratories, taasisi za serikali kama TBS, TFDA...
  3. B

    Tunachimba visima virefu na vifupi tunapatikana Dar es salaam

    Tayari nimeshachimba mkuu, nitakutafuta nitakapohitaji kuchimba kingine; vipi kuna uwezekano wa kuongeza urefu kisima kirefu kilichopungua/kukauka maji? urefu wa sasa ni mita 100 na 4.5 inch PVC casing, nilihitaji ziongezeke kama mita 30
  4. B

    MSc in Finance and Investment (IFM) vs MBA in Finance and Banking (CBE)

    Niwaulizeni jamani eti kati ya hizi Masters programs mbili ni ipi inafaa kwa mtu anayelenga kupata uweledi utakaomsaidia kuongeza wigo mpana mpata wa kupata fursa mbali mbali kujikwamua kwenye umasikini (Kuajiriwa?kujiajiri)?
  5. B

    Gharama za uchimbaji wa kisima kifupi cha malingi

    Hivi yupo anayeweza kuondoa PVC pipes kwenye kisima cha maji mita 100 kilichokauka maji?
  6. B

    Msaada; Kuondoa Pipes Kwenye Kisima Kirefu

    aksante kwa kunitonya
  7. B

    Msaada; Kuondoa Pipes Kwenye Kisima Kirefu

    mzeee kuna mahali uliwasifia PDPR kuwa wanafanya kazi vizuri japo ulikiri wanaringa balaa, lkn mbona hapa umesema ni matapeli?
  8. B

    Msaada; Kuondoa Pipes Kwenye Kisima Kirefu

    kama bado hujafanikiwa useme nifuatilie mawasiliano nikutumie, hata mimi nilikutana na changamoto hiyo kwa kisima nilichochimba cha mita 100. Nilikutana na options mbili; ya kwanza ilikuwa ni kuchomoa hizo PVC pipes ili kuanza upya kazi lkn ya pili ilikuwa ni kwamba PDPR Njombe alisema anaweza...
  9. B

    Msaada; Kuondoa Pipes Kwenye Kisima Kirefu

    nasikia kuna wajamaa wanaweza kuzichomoa, wako bagamoyo, gharama ni laki tatu
  10. B

    Tunachimba visima kwa ubora na kwa bei nafuu

    Visima vya maji ya kunywa vya malingi huwa mnachimba? Nina shida ya kuchimba kisima kifupi cha malingi chenye urefu wa mita 30 hapa Dsm, ni sehemu laini yenye chemi chemi kwa hiyo sioni sababu ya kufanya survey. Gharama ya ufundi, malingi na (gravels za kusafishia maji kama ni lazima) jumla ni...
  11. B

    Natafuta wachimba visima vya ringi

    Umepata kwa bei gani au bado?
  12. B

    Tunachimba visima

    Visima vya maji ya kunywa vya malingi huwa mnachimba? Nina shida ya kuchimba kisima kifupi cha malingi chenye urefu wa mita 30 hapa Dsm, ni sehemu laini yenye chemi chemi kwa hiyo sioni sababu ya kufanya survey. Gharama ya ufundi, malingi na (gravels za kusafishia maji kama ni lazima) jumla ni...
  13. B

    Visima vya maji

  14. B

    Tunachimba visima virefu na vifupi tunapatikana Dar es salaam

    Visima vya maji ya kunywa vya malingi huwa mnachimba? Nina shida ya kuchimba kisima kifupi cha malingi chenye urefu wa mita 30 hapa Dsm, ni sehemu laini yenye chemi chemi kwa hiyo sioni sababu ya kufanya survey. Gharama ya ufundi, malingi na (gravels za kusafishia maji kama ni lazima) jumla ni...
  15. B

    Wachimbaji wa visima

  16. B

    Gharama za uchimbaji wa kisima kifupi cha malingi

    Nina shida ya kuchimba kisima kifupi cha MAJI ya kunywa cha malingi chenye urefu wa mita 30 hapa Dsm, ni sehemu laini yenye chemi chemi kwa hiyo sioni sababu ya kufanya survey. Gharama ya ufundi, malingi na (gravels za kusafishia maji kama ni lazima) jumla ni bei gani?
  17. B

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Ktk tangazo jipya la kazi kuna RS1, NA GS1... kwani RS 1 GS 1 ni sawa shillingi ngapi? au ndiyo tuseme mishahara itapunguzwa kwa watakaoajiliwa kwa tangazo hilo jipya?
  18. B

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Jamani naombeni kujuzwa ngazi ya mishahara mipya ya GS.1 Tanzania Petroleum Coorperation Development TPDC ni sawa na shillingi ngapi?:A S thumbs_up:
  19. B

    TBS (Tanzania Bureau of Standard) vs TPDC (Tanzania Petroleum Development Coorperation)

    Jamaani naombeni ushauri: Nimepata kazi ktk taasisi zote mbili ambapo nitatakiwa kuriporti siku moja sehemu zote mbili na nitapewa mikataba na barua za kazi siku ya kuriporti... ni wapi pazuri jamani..
Back
Top Bottom