Search results

  1. CURRENT ISSUE

    Nakubali mahakama ya kadhi

    Ulitegemea upingwe na nani?Maana hakuna siku ambayo Ukristo utakubaliana na mambo ya Uislamu.Kusema ni mfumo Kristo Je kuna mahakama ya Kristo ndani ya Katiba ya Sasa?Maana kungangana iingizwe kwenye katiba mahakama ya kadhi ni kusema kuwa Waislamu hawajiwezi mpaka wapewe msaada na Katiba,maana...
  2. CURRENT ISSUE

    Haya majina matamu matamu ya kimahaba kati ya wapendanao huwa yanaenda wapi?

    Kila jambo na wakati wake,wakati wakupanda na wakati wa kuvuna,wakati wa kuitana honey,wakati wa uchumba na wakati wa ndoa
  3. CURRENT ISSUE

    Star Tv mmenikera sana mimi mtazamaji wenu

    mmh heri mimi sikuangalia uwongo huu
  4. CURRENT ISSUE

    Manabii wa ajabu watokea KKKT Tabata

    Uongo mwingine hata hauna mashiko.Ukitaka kudanganya uwe na details za kutosha.Mambo yakusikia. KKKT ni weledi na vitu unavyosema sio vya KKKT.Hili ni kanisa lenye utaratibu unaoeleweka na uongozi thabiti na sio kama unavyojinadi,hapa kuna wazee wa kanisa,mchungaji,mwinjilisti na lazima wote...
  5. CURRENT ISSUE

    Msaada: Anayejua comprehensive motor insurance

    Ni sawa kabisa ila kwa maelekezo ya ziada wasiliana na MAENDELEO benki kwa namba 0658 500420 niliwasikia wakijinadi hivyo kuwa siku hizi wanatoa huduma hiyo.
  6. CURRENT ISSUE

    Nasikia Harufu Kali na Mbaya ndani ya CHADEMA

    Mmmmmmmmmh CHADEMA inatisha imewashika pabaya sasa wanaweweseka na bado,hii ni trela tu movie yenyewe hata haijaaanza mnaanza kuweweseka.Muziki mnene unakuja subirini.
  7. CURRENT ISSUE

    Uhusiano wa kanisa na bendera hasa ya Marekani

    Kwa sababu uamsho au makanisa yote ya kipentekoste origin yake ni Marekani Azusa street
  8. CURRENT ISSUE

    Mch. Gwajima: Mimi sio kama wale (kuhusu kashfa)

    Ukristu wako una mashaka,kwa kuwa hawa ni watanzania wenzako ndio maana huwakubali?Kwa nini hicho unachokiamini unakiamini?Maana hata hapo katika dhehebu ulilopo leo ni afadhali hawa usiowakubali,tafakari vzuri hata kama husali kwao jivunie kuwa nao.
  9. CURRENT ISSUE

    Madawa ya Kulevya: Uhamiaji Dar wamnasa Mnigeria kinara wa kusafirisha unga

    hah hah hah hah hah usitake ncheke mie.quote nzuri sana hii.this is a good research.
  10. CURRENT ISSUE

    Madawa ya Kulevya: Uhamiaji Dar wamnasa Mnigeria kinara wa kusafirisha unga

    hah hah hah hah hah usitake ncheke mie.quote nzuri sana hii.this is a good research.
  11. CURRENT ISSUE

    Nimekuwa mtumwa katika mapenzi

    Tulia upate ramani kwanza usipaparike
  12. CURRENT ISSUE

    Hoja kuhusu wanaotoa 'sadaka' ya fedha.

    Kwa nini wabuni njia nyingine wakati waombaji wenyewe wanataka fedha?.Kwa kuwa mawazo na akili za mwombaji zipo kwenye fedha kuwapa wazo jipya itakuwa ni kupoteza muda maana hiyo inahitaji waombaji wapewe elimu hiyo.Hata Mungu humpa mtu haja ya moyo wake vinginevyo akikupa tofauti unaona kuwa...
  13. CURRENT ISSUE

    Mtoto wa kambo

    Ushauri wangu ni kuw hao yote yanaezekana kwa kuwa huyo motto yupo hapa Dar na mama mtoto naye yupo hapa hapa.Mpeleke kijjini kwa wazazi wa Mume wako aomeshwe sule huko huko.Mumeo amweleze mzazi mwenzake kusdio hilo na kama akipinga mumeo ni kichwa cha familia atoe maamuzi,au aende ustawi wa...
  14. CURRENT ISSUE

    Sheikh Jongo alia bungeni

    Tupieni picha tuone anavyolia
  15. CURRENT ISSUE

    Hospitali za Tanzania bwana....

    nimekupenda je?kwa jibu zuri maana hakuna wa kumlaumu mwenzake wakati tulichagua wenyewe.
  16. CURRENT ISSUE

    Natafuta Accounting Package

    Nitakutafuta kesho tafadhali
  17. CURRENT ISSUE

    Natafuta Accounting Package

    Sina specific name nitakupigia tuongee zaidi ikiwa itanifaa
  18. CURRENT ISSUE

    Mzee mashine mbili

    Hadithi hii kakufundisha nani?na alisema ina maana gani?
  19. CURRENT ISSUE

    Natafuta Accounting Package

    Nina duka la vyakula na bidhaa nyingine mbalimbali,nahitaji accounting package kwa bei nafuu itakayoniwezesha kutunza kumbukumbu za biashara hii vizuri.Mwenye taarifa au mhusika tafadhali.
  20. CURRENT ISSUE

    Taswira ya maduka jijini Mwanza leo

    kodi lazima asiyetaka kulipa kukusanya kodi kwa niaba ya serikali aachane na biashara afanye kitu ingine
Back
Top Bottom