Search results

  1. pleo

    Kwa dalili hizi Ninahisi nina maambukizi ya VVU

    Huo Muda ni window period ya malaria, Ngoma kitu nyingine.. Kama ulipiga deki piga Azuma.
  2. pleo

    Mawazo Huru

    Miaka kama 40 iliyopita serikali ilianzisha vijiji vya ujamaa, model iliyoigwa na kubadilishwa kidogo toka china, Russia na Israel.. Wanakijiji walipewa vifaa vya kilimo km trekta na mashine nyinginezo bila kusahau wataalam wa kilimo. Kulikuwa na mashamba darasa yaliyoitwa mashamba ya Kijiji...
  3. pleo

    Rais Samia akutana na rafiki yake waliyesoma shule ya Msingi na sekondari

    Nimewaza nikawazua nikashindwa kupata jibu baada ya kumuangalia rafiki kibibi, nikajiselmea kinyakimya labla ikulu Kuna mtaalam wa makeup!
  4. pleo

    Uzi maalum wa kupeana faraja hasa tuishio mbali na familia zetu. Tukitafuta Maisha ya kesho

    "Keep on, with the force, don't stop Don't stop 'til you get enough Keep on, with the force, don't stop Don't stop 'til you get enough Keep on, with the force, don't stop Don't stop 'til you get enough Keep on, with the force, don't stop Don't stop 'til you get enough"
  5. pleo

    Mgeni

    Karibu mkuu upo wapi winza?
  6. pleo

    Kitu kama hiki unaweza ukachukulia rahisi ila wahusika wanajua maana yake na majibizano yao

    Kama upo Arusha kuwa makini, mkuu wenu Huwa anakawaida ya kuwakamata walevi wanaokunywa kabla ya saa kumi!
  7. pleo

    Serikalini tuna Wachumi wasiojua Uchumi?

    Kuna Msambichaka nilikuwa nakuta yupo hatua moja mbele kwa kila andiko nililokuwa naandika kwenye mada za socioeconomics, hivyo naililazimika tu ku citate maandiko yake....., sasa sina uhakika Nini kimekukuta mbona umepiga OP Sana!
  8. pleo

    Nataka nianzishe kabila langu. Je, inawezekana?

    Nilipo acha kuvuta bangi nilikuwa mnyonge Sana, Ila sasa hivi nashukuru nilifanya Yale maamuzi.
  9. pleo

    Nafikiri hii ndiyo sababu ya matajiri kuitwa katili wasiyo na utu

    Sina shaka yoyote Uzi huu umeandikwa na Boss msomi.
  10. pleo

    Aishi Manula afungua duka la Vifaa vya michezo

    Nilipata kamilioni, nikasema nijenge chumba Cha kufikia shamba Bado pagale, haijaisha.... Ujenzi Bado upo juu mkuu
  11. pleo

    Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

    Hiyo hela unanunua kichwa Cha Scania matata.
  12. pleo

    Rafiki aligeuka kuwa mnafiki kisa mwanamke

    Joined Thursday at 12:13 PM
  13. pleo

    Kwenye biashara usiogope majina makubwa yaliyokutangulia; Hill water, mabasi ya Tilisho ni somo kubwa la kuingia sokoni ukiwa mpya

    Achana na yote, Hill water amefanya kisichotarajiwa kwenye Biashara.... anastahili kuwa study case.....
  14. pleo

    Ila tuache masihara huyu dada mzuri aiseeeh.

    Ikiwa na tattoo, inatosha kukaa pembeni, wacha ipite hiyo kimeo!
  15. pleo

    Serikali tunataka majibu juu ya uwepo wa mgodi wa siri katikati ya msitu huko Kitunda

    . Kama wanachimba uranium waache wapite huu Wala msiende kuwasalimua
  16. pleo

    Kubezwa kwangu kulinipunguzia presha nikawa mshindi vipindi vyote

    Mkuu hongera Sana, Hii papatupapatu ya masomo kama yangu tu, nilianza kuheshimiwa home baada ya matokeo ya kidato Cha nne, Ila wewe umenizidi kigugumizi Cha kuandika Mimi Nina kigugumizi Cha kuongea.
  17. pleo

    Mume amburuza mke mahakamani baada ya kumfumania

    Tuma link ya telegram
Back
Top Bottom