Search results

  1. kibule

    Serikali inahujumu Mawasiliano waziwazi. Huwezi kulazimisha mtu atumie Laini moja wakati Telecom Companies are not stable.

    Unajua kama biashara zako mjini hauwezi ona umuhimu wa kuwa na line zaidi ya moja, kuna mikoa ukienda hakuna network za voda unakuta ni airtel tuu, vijiji vingi voda na tigo hakuna na kama unabiashara ya mazao maeneo hayo na uko na line moja ambayo haina mawasiliano je utafanyaje??? Pili kama...
  2. kibule

    Wiki Moja Sasa Bila Local Channels:Je TBC1 imekuvutia?

    Ivii kuna watu serikalini wamemiss zile enzi za Ukoloni?? Mbona kama tunarudi kule kwa zamani!.... maana channel moja nasikia na line moja mwisho tutaambiwa gari moja moja nyumba moja moja mtoto mmoja [emoji31][emoji31][emoji31][emoji31][emoji31] Sent using Jamii Forums mobile app
  3. kibule

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  4. kibule

    Kama una stress pitia hapa, usiache kutupia na wewe maneno yako

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115][emoji115] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. kibule

    Nyama za pua kwa mtoto

    yaani mtoto wangu anasumbuliwa saana na ameshaanza dawa ya ku spray lakini hakuna nafuu hata kidogo. sasa unaweza kuongea na huyo workmate wako kama atakuwa na namba ya huyo dr aliemfanyia huko KCMC
  6. kibule

Back
Top Bottom