MUASISI (sic) neno sahihi ni mwasisi maana yake ni mtu mwenye kuanzisha jambo fulani
Kwa maana ya neno mwasisi kama ulivyooneshwa hapo juu wafuatao ndio waasisi wa Upinzani Tanzania baada ya mfumo wa chama kimoja kuwepo Tanzania tokea 1963
1. James Benard Mapalala Chama Cha Wananchi
2...
Mkuu, Wewe uliye mtanzania hebu ielezee historia ya upinzani Tanzania na waasisi wake. Faida ikiwa ni kuelimishana na kuongeza uelewa na sio kulumbana tu bila tija
MBATIA HAJAWAHI KUWA MUASISI WA UPINZANI TANZANIA.
KASOME HISTORIA, ELIMU YA URAIA NA SIASA YA TANZANIA ITAKUWEZESHA KUWAJUA NI AKINA NANI WAASISI WA UPINZANI TANZANIA
JokaKuu,
Taarifa ya awali ta polisi, taarifa ya magereza,taarifa ya polisi baadaye na hii ya waziri zinapishana kwa kiasi kikubwa sana. Haijulikani ili ni ya kweli ili ya kutunga
Waziri askari magereza hawakuwepo wakati akina mdee wanahamasisha nakutafuta watu wengi kwenda Segerea. Ilikuwaje walipofika Segerea polisi wa magereza wakaacha watu wengine nakuwashughulikia Wakina Mdee pekee na kuacha watu wa kwenye madaladala ??
Mama Amon,
Mahakama ina mchango mkubwa sana Kwenye hili. Mahakama nzuri na huru inapatikana pale ambavyo tume ya mahakama ni huru.
Kutenganisha vyombo hivyo mahakama na tume ya mahakama na kuwa na dhana kuwa havina uhusiano na tume ya uchaguzi haitaleta matokeo chanya hata Siku moja
Ramark,
Tume ni chombo kilichoundwa na katiba huwezi kufumua tume peke yake lazima iendane na kuondoa ukiritimba uliopo chini ya katiba ya sasa.
Ingawa Kuna mgawanyo wa madaraka lakini kiuhalisia na chini ya katiba ya sasa dhana hiyo haiwezi kufanya kazi. Ona jinsi jinsi tume ya mahakama...
With all those sponsored acrobatics you still maintain that ule ulikuwa ni ushindi wa kishindo. If the answer is yes then I have to retire from this discussion
Mahakama iulizwe kukikuwa na uharaka gani wa kuisikiliza hiyo rufaa ya Mwanasheria Mkuu wa serikali? Ndani ya Miezi miwili rufaa imesikilizwa rufaa nyingine zina miaka zaidi ya sita na hazijasikilizwa.
Kulikuwa a nini Kwenye hii rufaa ??????
Pascal, hii hapo juu sio tatizo la sheria ya uchaguzi. Ni sababu tume ya uchaguzi inaogopa kugombeza na uoga huo unatokana na ukweli kuwa tume haiko huru.
Mwenyewe unakiri kuwa CCM inaingia Kwenye uchaguzi ikiwa ni chama dola chenye NEC. Kama unakiri kuwa NEC ni ya CCM unashindwaje kuona kuwa...
Ni utaratibu unaoenda kinyume na katiba. Ni utaratibu unaotweza heshima ya mtu.
Ibara ya 16 ya katiba inasema " kila mtu anastahili kuheshimiwa na kupata hifadhi kwa nafsi yake, maisha yake binafsi nafamilia yake na unyumba wake, na pia heshima na hifadhi ya maskani yake na mawasiliano yake ya...
Are you writing as a politician or lawyer.
If you are writing as a lawyer whom are you representing the accused persons, the complainant, the prosecution or the INTERESTED PARTY ?
Atuoneshe ni wapi kwenye sheria ya uchaguzi ni wapi au kifungu gani cha sheria unasema vyombo vya dola vitasaidia kinda amani wakati wa uchaguzi.
Stake tu ni kifungu gani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.