Search results

  1. Anthony Mtaka

    Kauli ya Waziri Mwigulu: Wachina "kuomba uraia"

    SIKU TUKIJADILI WACHINA KUPEWA URAIA WA TANZANIA ,TUTASTAHILI PIA KUJIINGIZA KWENYE AJABU. LINGINE. LA DUNIA,KWANGU MIMI HATA KULIKIRIA HILO NAJISIKIA DHAMBI,ITOSHE TU KUAMINI KWAMBA SII KWELI KWAMBA WANA HHIZO KADI ZA KUPIGIA KURA JAPO KWA TANZANIA NA UHAMIAJI ILE YA MIAKA AMBAYO MUHHINDI...
  2. Anthony Mtaka

    Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums...

    JF NI KISIMA CHA FIKRA-HONGERENI JF MEMBERS WOTE
  3. Anthony Mtaka

    TUSHIRIKISHANE JamiiForums yazindua rasmi mradi wa "Tushirikishane"

    HONGERA SANA KAKA MAX NA JF-MUNGU AWAPE AFYA NJEMA, ILI MALENGO HAYA MEMA YATIMIE KWA MAJIMBO TISA NA WIGO MTAKAOUTANUA BAADAE. KWA HAZINA YA BRAIN ZILIZOKO HUMU NAAMINI JF ITAISHANGAZA DUNIA KWA AINA YA MIRADI MTAKAYOIBUKA NAYO KWA JAMII. KARIBUNI SANA NA KWETU.
  4. Anthony Mtaka

    Rais Magufuli alakiwa Arusha, akiwa ndani ya nguo za Kijeshi

    MUNGU AKUBARIKI NA KUKUTIA NGUVU KATIKA UTEKELEZAJI WA MAJUKUMU YAKO MH.RAIS
  5. Anthony Mtaka

    Huyu traffic Riziki wa Kibaha achunguzwe, ana coaster sita, Hon Mpinga tusaidie

    Hoja NI Magari anayomiliki au kazi anayofanya,MAANA Leo mikopo kutoka banks ni mingi,mtu anaweza kuwa amejivuta NA mikopo ya kibiashara,Pili huenda mumewe akawa NI sehemu muhimu ya Magari UNAYOYAONA ,kikubwa mhukumu kwenye uadilifu wa huduma anayoitoa Kama Askari mengine haya jiridhishe SANA...
  6. Anthony Mtaka

    Mfumo wa GPA wafutwa na Waziri Ndalichako

    Akimaliza Hilo atuondolee NA mitihani ya multiple choice kwenye hesabu( SWALI , 1+1=a 2,b,3c,hakuna jibu sahihi
  7. Anthony Mtaka

    Kweli mtoto wa mkulima kaamua kuwekeza

    HAKIKA anastahili kupongezwa kwani ameyaishi maneno yake,Akiwa PM alihamasisha SANA Ufugaji wa nyuki,NA SASA KWA YEYE mwenyewe kuuza asali yake NI DHAHIRI Ametenda alichokihubiri KWA MIAKA 8 Akiwa PM
  8. Anthony Mtaka

    Ishu ya Polisi kubaka, msichana asimulia (audio)

    Inafikirisha NA kutafakarisha SANA
  9. Anthony Mtaka

    Kwa Style hii Mh unaipa shule laki 6 unasema Elimu bure?

    Jambo LOLOTE katika yaliyomengi linapoanza Kama jipya linakuwa NA CHANGAMOTO ZAKE,kikubwa limeanza,naamini katika utekelezaji wa sera hii mwaka wa kwanza huu utatoa CHANGAMOTO zitakazopelekea maboresho,binafsi uthubutu wa kutenga Bilioni 130 KWA mwezi Ili kuwaondolea WAZAZI Ada NA michango ISIYO...
  10. Anthony Mtaka

    Maalimu Seif ni mvumilivu sana

    Tumpe MUNGU nafasi
  11. Anthony Mtaka

    Meya wa Ilala aongelea mikakati ya usafi na ubunifu wa ukusanywaji wa mapato

    Kila la HERI,MAANA kubwa NI wananchi wapate huduma,-MUNGU awape mshikamano MWEMA Kama kiongozi NA viongozi wenzako
  12. Anthony Mtaka

    George Masaju ni mnafiki

    "Unafiki wa kwanza upo Kwako wewe mleta habari za kinafiki"-maana ulivyoifinyanga habari hii ili kuihalalisha ni full unafiki.
  13. Anthony Mtaka

    M/kiti UVCCM Ilemela, Mwanza ashambulia watu na risasi!

    Dah,hata silaha Hana huyu Kijana ,tusimuhukumu bure.
  14. Anthony Mtaka

    Didas Masaburi: Watanzania tumsaidie Rais kufanya Maamuzi Sahihi

    Nimekusoma Dr.Masaburi,-Time will Tell.
  15. Anthony Mtaka

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Sii matarajio ya ccm kushinda 100%,wala oposition kushindwa 100%,vyovyote matokeo yatakavyokuwa katika ujumla wake-yanatoa somo pana kwa siasa shindani za mwakani 2015,nayafananisha sawa na matokeo "kioo" kwa kila chama kujiangalia kinaonwaje au kutazamwaje huko site.
  16. Anthony Mtaka

    ITV/Radio One, huyu mwandishi wenu wa Musoma ni muongo

    Munemisango sana bhana bhasu,ejindi omulisha bhanu,olichimali Prof,alaguliye Marato ebhinu bhyamunyumba,,aha ejindi chilomega nchisiga kunyamwanga.
Back
Top Bottom