Search results

  1. sunola

    Masota: Bongo fleva artist na komandoo wa JWTZ afariki dunia

    yaani we we hushindwi kitu haahaa
  2. sunola

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    hamu :D:D:Dhuwaachi mkuu wakapumua
  3. sunola

    Nyumba full inaoangishwa 4 office au makazi familia

    haaha we jamaaa hatari sana
  4. sunola

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    naukubali sana mchango wako mkuu bt long time sijachungulia huku
  5. sunola

    Wapi naweza kupata wanunuzi wa madini ya Ruby?

    Nakukubali mkuu kutoka kumpiga kanji hadi huku
  6. sunola

    Nyumba inapangishwa, 120,000

    Dah! Magufuli amenikomesha ningekuwa Nina jeuri hata ya kiunena
  7. sunola

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Mkolosai weka tips mkuu lengo letu no moja tumpige kanji
  8. sunola

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wakuu habarini za hapa Nina tatizo moja nikideposet premier bet kwa Tigo inagoma naambiwa muamala wangu umesitishwa in nani amekutwa na huu mkasa pls.
  9. sunola

    Madee kafyatua ngoma na Tekno!!!

    O Ofcourse bt beat za laiser ni nyepesi sana ila sio mbaya akaze buti maybe ataonekana naye.
  10. sunola

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Inaudhi sana yani mpaka sasa siwezi bet. Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
  11. sunola

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau habari za hapa no kitambo sana Niko kimya ila nmerudi ulingoni wazee wenzangu. Napata shida kwenye premier bet hasa kupata version ya computer kwangu inazingua(natumia cm) Pili nmedeposit ila kila nikitia stake mkeka hausomi kiasi cha hela na nikisubmit naambiwa hamna hela kwenye A/c yangu...
  12. sunola

    Uzalendo wa Rais huyu umenishangaza sana!

    Acha kuqoute uzi mzima unatuchosha tunatumia simu
  13. sunola

    ACACIA Mining PLC: We do not agree with President Magufuli Committee's findings...

    Nashauri raisi atoke kwenye mfungano wa kisiasa na hili swala amwombe tundu lisu& mwanasheri wa serikalk wajazie nyama awachezeshe Accasia Ngoma inogile
  14. sunola

    Wanawake wenye Vinyweleo

    Utakuwa navyo naona
  15. sunola

    Used laptops at promotion price

    Kariakoo mtaa gani?
  16. sunola

    China yailalamikia Korea kusini kuhusu mtambo wa marekani

    We nahisi huwajui USA wewe wale huwa na pande mbili. Mataifa yaliyoendelea yanajijua visa vyao vya cold war vikoje. Mpaka uone roumor ujue kuna kitu hapo.[emoji19]
  17. sunola

    #Paris7s : Tushakojolea France, England Next

    Hongereni sana mkuu. Mi ni mnazi mkubwa wa Rugby
  18. sunola

    China yajiandaa kutuma binadamu wakaishi kwenye mwezi

    [emoji15] [emoji15] [emoji26]
  19. sunola

    KDF Yanunua helicopter 12 na zana zingne za kivita

    [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji119]
Back
Top Bottom