Search results

  1. M

    Maswali kwa JK

    nadhani hapa tumefikia mwisho naenda kazini na hayo ndio maswali nitamtumia mkuu atakaenda kwenye hicho kikao
  2. M

    Maswali kwa JK

    nanawakilisha hivyo hivyo bila kuchuja
  3. M

    Maswali kwa JK

    Wadau kuna jamaa wamenitonya hapa watakutana na JK mchana huu hapa DK. Mimi nipo mbali kidogo na Copenhagen so kama kuna maswali mnadhani ni muhimu akaulizwa mnaweza kunipenyezea kabla ya 11:30am sawa´na 12:30pm East African time. Nasubiria, then Mods mtaiondoa baada ya huo muda asante´ni
  4. M

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Mbu, wasiliana nasi upate ushauri wa uhakika, pia tutakuandalia Mchanganuo wa biashara(Business Plan) baada ya kukubalina na aina ya biashara unayoweza kuifanya. Note: Kutakuwa na gharama ingawa sio kubwa. wasiliana nasi info@gmconsultz.com, ama ceo@gmconsultz.com,
  5. M

    Anahitajika Webdesigner/developer

    Nisipotoa shukrani kwa Uongozi wa JF na kwa wana JF kwa ujumla nitakuwa sitendi haki, Hivyo nasema asanteni sana kwa kunifikishia ujumbe, Hakika huu mtandao una hazina kubwa sana. Na napenda kusema nimepata request za kutosha na sasa tupo kwenye mchanganuo wa kupata the best 3. Kwa wale...
  6. M

    Anahitajika Webdesigner/developer

    Nisipotoa shukrani kwa Uongozi wa JF na kwa wana JF kwa ujumla nitakuwa sitendi haki, Hivyo nasema asanteni sana kwa kunifikishia ujumbe, Hakika huu mtandao una hazina kubwa sana. Na napenda kusema nimepata request za kutosha na sasa tupo kwenye mchanganuo wa kupata the best 3. Kwa wale...
  7. M

    Anahitajika Webdesigner/developer

    Mkuu nashukuru kwa request yako lakini sitaweza kufanya hivyo bila idhini yao maana hatufahamiani. Ila nitawaomba wao wawasiliane na wewe badala ya mimi kukupatia mawasiliano yao. asante
  8. M

    Anahitajika Webdesigner/developer

    Njia za mawasiliano sio tatizo maana tupo partners sehemu 5 so the nearest partner will contact you na pia tuko online muda wa asubuhi saa za bongo saa 2 hadi saa 6 mchana then jioni tena ya 3 hadi saa 6 usiku. karibu kuwasiliana nasi
  9. M

    Anahitajika Webdesigner/developer

    Tunahitaji web designer na developer kama uko tayari wasiliana nasi kwa njia ifutayo simu +4531860936 ama kwa email: info@gmconsultz.com ama kwa njia ya PM First come, First Served We guarantee to listen to anybody who call or write to us Hint: Tunahitaji mtu anaeweza kudesign na...
Back
Top Bottom