Search results

  1. njiwa

    Nimeshaoa, naombeni nifahamu mambo ninayotakiwa kufanya na kutofanya kwa mke

    Mwanaume ndio kiongozi wa familia .. usikubali akupande kichwani
  2. njiwa

    Azamu TV acheni udini kwenye channel zenu

    Hujalazimishwa kununua azam
  3. njiwa

    Kwa kauli ya Rais Samia kwa Hussein Mwinyi, Je kuna fukuto ktk Familia ya Hayati Mzee Mwinyi?

    Wakifuata mgawanyo kwa sheria ya dini hata wangekuwa wake 4 ... Kila mmoja anapata stahiki yake ..kwenye mirathi sheria za kiislam zipo wazi kabisaa
  4. njiwa

    Mbowe amtambulisha Dkt. Slaa

    Sala ndiye mgombea wa Urais kupitia chadema 2025
  5. njiwa

    Kosa la Kikwete kwa Lowassa hasa ni lipi hadi wamtendee haya msibani?

    Bila nakala ya hicho kijarida huu ni uongo
  6. njiwa

    Wafadhili wamejenga Msikiti kwenye Eneo la shule ya sekondari inayomilikwa na serikali. Mkurugenzi wa Halmashauri ameuvunja

    Sasa watoto wakafanye ibada wapi pia ukiangalia ni shule ya bweni ... Misikiti au kanisa au nyumba ya ibada yoyote ni muhimu kuwepo maeneo ya hospitali na mashuleni ..
  7. njiwa

    Gari za Mikocheni Coca Mnazi mmoja au Machinga zipunguzwe ni nyingi sana

    Maeneo yale yana viwanda .. unategemea nini ukiweka gari chache
  8. njiwa

    Tanzania hakuna mgawo, South Africa inatisha, mgao ni wa kutisha!

    Dah kingereza kinatia uvivu kusoma ..ungetuandikia kiswahili
  9. njiwa

    Dkt. Mpango amtabiria mtoto kukalia kiti cha Makamu wa Rais

    Huyu na yule naibu waziri wa Afya .. siwaelewi kabisa
  10. njiwa

    Mwenye connection ya mfanyakazi wa ndani anipe tafadhali

    Sawa we mwengize king tu mdau ajichanganye...
  11. njiwa

    Mwenye connection ya mfanyakazi wa ndani anipe tafadhali

    Ulozi mwingi sana huko ....
Back
Top Bottom