Search results

  1. O

    Elections 2010 Dr. Slaa mgombea urais 2010 kupitia CHADEMA

    Acha uhuni hiyo siyo kweli kabobea kwenye dini?
  2. O

    Kikwete Sio Mungu

    Huyu ndugu kasema kweli Rais Siyo Mungu Lakini inabidi awe na uchungu na watanzania. Jaribu kuona sasa watanzania wanaotumia Reli wanavopata shida. Rais kama mwenye Nchi angeweza kuamua wahindi hawa waendeleze Reli zote ama sivyo tuna rasilimali watu Kibao Tanzania waendeshe. Je, Na hawa...
  3. O

    Death au DECI? - Masha, Mwema na Othman

    hawa watu ni wajanja kuliko hata nyani! wamekula maliasili na hata kudiriki kubomoa majumba na kunyang'anya mashamba yetu eti kuna wafadhili/wawekezaji wanataka kujenga au kuwekeza kitu fulani. lakini unajiukiza mbona mashamba, majumba hata viwanda viliuzwa kwa bei che, eti kwa wawekezaji ambao...
  4. O

    Death au DECI? - Masha, Mwema na Othman

    Kwakweli watanzania tumekuwa kama walevi fulani wasojua haki zao, lakini bado tupo zaidi ya walevi maana walevi hujua haki zao ndo maana ukimwaga pombe yao hata kama yu hoi utakiona. Nadhani haya ndo maisha bora. Lakini ni bora tukampa mtu madaraka kulingana na utendaji wake na uwajibikaji wake...
Back
Top Bottom