Search results

  1. PesaNdogo

    Naombeni ushauri wakuu maana kumtamkia tuachane siwezi ila anazidi kunipa sononeko sana

    Muoe ndo umdai hizo huduma. Huyo sio kahaba halazimiki kukupa mwili wake, huna hizo Haki
  2. PesaNdogo

    Nawezaje kumuacha ingali bado nampenda?

    Ut Utayajutia maamuzi yako. Kuna wamama waharibifu wa mahusiano pia, hawataki mabinti wa wenzao wasifike kwa tabia njema au waolewe. Mf. Kwa wanawake waliosoma masomo ya sayansi wanaume ni kampani yao kubwa maana hata darasani kati ya watu 90 wanawake wanaweza kuwa 10. Umalaya ni hulka sio...
  3. PesaNdogo

    Matendo/Vitu gani vya kumfanyia mwanamke ili ajue kwamba haumpendi

    Wewe ni mpu.mbavu, hutamudu atakapobadilika baada ya matendo yako.
  4. PesaNdogo

    Nimekutana na mwanamke wa ajabu, naanza kuingiwa na hofu walimwengu nisaidieni

    Si mnasema mnajua kutest mitambo? Lililompata huyu mwenzetu Liwe fundisho. Ukiwa na mtu anayesali atakulinda kwa maombi ila mnataka wanawake wanaosali ili muishi nao Kama makahaba mtaponea wapi. 😂😂😂
  5. PesaNdogo

    Hee,..huyu demu kavishwa pete..dah.wadada waoneeni huruma jamaa zenu

    Nijidanganye Nini, Kama mdada kakufanya mchepuko si Basi tu ishakuwa
  6. PesaNdogo

    Ex wangu Kamuacha mume wake Anataka tuludiane

    Mahusiano hayafanani, hakuna formula inayowafit wote.
  7. PesaNdogo

    Ex wangu Kamuacha mume wake Anataka tuludiane

    Take her back. Amejifunza Jambo from experience
  8. PesaNdogo

    Hee,..huyu demu kavishwa pete..dah.wadada waoneeni huruma jamaa zenu

    Hata mzazi aliyekuzaa aliliwa 😂😂😂, mnapodhalilisha wanawake kwa Mambo mliokubaliana kufanya sirini mkumbuke moja wa wazazi/ walezi wako ni mwanamke. Hujui na yeye yalimpata yapi. Wengi wanaodhalilisha wanawake ni wanaume wasiojiamini aidha kutokana na kuonewa wakati wanakua au matatizo yao ya...
  9. PesaNdogo

    Hee,..huyu demu kavishwa pete..dah.wadada waoneeni huruma jamaa zenu

    Because I know the impact of what you do, I have brothers who suffer the consequences... They are empty inside, they work so hard but nothing to show. Some ended marrying women who knew how to fake love as they did... Now they are so unhappy. I have a brother who can't reach a conclusion on who...
  10. PesaNdogo

    Hee,..huyu demu kavishwa pete..dah.wadada waoneeni huruma jamaa zenu

    You need help boy, man up. Unajitesa mwenyewe maana hata ijulikane Nini your life is all about you, unaingia Vita usiyoweza kushinda. Eti inajulikana wanawake ndo wanaoumizwa, you are a fool unahangaika kutengeneza historia inatakayo kuhukumu na uzao wako matendo yako yataambatana na wewe na ni...
  11. PesaNdogo

    Hee,..huyu demu kavishwa pete..dah.wadada waoneeni huruma jamaa zenu

    Kwani yeye hakuzaliwa baada ya mwanamke Fulani kufanywa tendo Hilo mnalotumia kumdhalilisha huyo mwanamke? Sex is just sex, unless it's rape
  12. PesaNdogo

    Hee,..huyu demu kavishwa pete..dah.wadada waoneeni huruma jamaa zenu

    Unatia huruma kudhani utawalipa kisasi wanawake, huwezi labda Kama unasambaza ukimwi na maradhi mengine makusudi napo bado na wewe utakufa nayo. You don't win in this game, unajitesa mwenyewe unajikosesha Raha ya kupenda na kupendwa... Uzee wa majuto unakusubiri ukibahatika kufikia uzee. Unatia...
  13. PesaNdogo

    Hee,..huyu demu kavishwa pete..dah.wadada waoneeni huruma jamaa zenu

    Unaringia kuwa mchepuko 😂😂😂, unadhan wanawake unaolala nao hawajui we fa.la tu.
  14. PesaNdogo

    Mke wangu ananifanyia ushirikina natamani kumwacha ila nashindwa

    Hi prayer point very useful 😎, nimeichukua kwa ajili ya kuitendea kazi
Back
Top Bottom