Search results

  1. A

    Viongozi wetu ni picha halisi ya jamii yetu

    Huo ndio ukweli, japo mchungu, ndio maana ajae leo huwezi ona tofauti yake na yule wa jana.
  2. A

    Tanzania yalipa Fidia ya Tsh. Bilioni 75 kwa kufuta Leseni ya Kampuni ya Madini

    Ila hii nchi kwa kweli, hapana aisee. Kwamba mtu kapiga 75bn bila kufanya kazi yeyote. Ni mkataba tu kuvunjwa basi.
  3. A

    Nyerere alisingiziwa mengi sana

    Wapi katukana Mzee, punguzeni mihemuko ili akili zenu zifanye kazi vizuri
  4. A

    Nyerere alisingiziwa mengi sana

    Sijawahi kuwa na chuki na Nyerere, ila yote aliyosema huyu mama ni kweli.
  5. A

    Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu

    Mbona hilo eneo lipo miaka mingi tu. Ukiwa unaelekea bagamoyo sugar pale njiani kuna bango kubwa. Ni maeneo ya tafiti mbali mbali kama sijakosea. Sent from my M2006C3MG using JamiiForums mobile app
  6. A

    USHAURI: CCM iwe na Katibu wa Itikadi na Uenezi upande wa Bara na Makamu wake atoke visiwani

    Suluhisho la kudumu la kero za muungano ni kuwa na muundo wa serikali moja tu.
  7. A

    Balozi Maajar kuwa mjumbe wa bodi Tanesco kuna walakini, tumesahau ya Dowans?

    Shivji kasema inaitwa Rex Attorneys
  8. A

    Mwenyekiti wa CCM kuita gazeti la chama "vigazeti" ni kosa kubwa

    Kauli zake ni kama kuna vita kati ya wanaume na wanawake...kwa kweli bi mkubwa kajaa kiburi mno kwa sasa.
  9. A

    Nielewesheni hili jambo Rais Samia kuzungumza na wanawake wa Tanzania siku ya Demokrasia duniani

    Si mnasema kila siku wanawake wapewe nafasi, basi ndio hivyo sasa. Tutaelewana tu huko mbeleni. Na huyo mama akikaa miaka kumi wanaume watajikuta katika harakati za kupigania haki zao.
  10. A

    Viva Tanzania, Viva Afande SACP Susan Kaganda, Rais Samia ni Msikivu

    Waswahili mmeanza tena na vioja vyenu. Hamuishi kusifia watu bila vigezo vya msingi. Mkishageukwa mnaanza kulia lia tena. Akina mama ndalichako hamkuisha kuwapigia debe haya semeni ni kipi cha maana kawafanyia. Tuache mamlaka husika zifanye kazi yake pindi muda muafaka utakapofika. Na mwisho...
  11. A

    Sakata la Sabaya tusilipime kwa yeye kufikishwa Mahakamani

    Hoja ya mtoa mada iko sahihi. Wenye akili kubwa tu ndio wataewa.
  12. A

    Rais Samia ndiye Rais anayeenda kuiua CCM

    Watanzania msiojitambua mshaanza upuuzi wenu. Hamjitambui coz hamjui nini mnataka na mkijua still hamjui njia sahihi za kufanikisha. Kosa kubwa watz hufanya siku zote ni kuwarekebisha CCm wanapokosea. Hata JK alipoamua kuleta katiba mpya mlianza maneno yenu haya, mwisho akawageuka. Mbona...
  13. A

    Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

    Mwenye hiyo video aweke nasi tuone
  14. A

    Nimefurahishwa na uteuzi wa Dkt. Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi kwa sababu moja kubwa

    PM, VP, na Mr President hawa watatu hakuna mhandisi hata mmoja. Acha uongo Dada.
  15. A

    Kauli ya Waziri Mkuu imebeba ujumbe mzito si ya kubeza. Jaribu kufikiri kwa upana

    Mtoa mada Tufanye hisia zako na za wakuu wetu ni sawa, sasa nikuswalike 1. Ni nchi gani hiyo inayotumia COVID-19 kama biashara?. 2. Je hizo barakoa zote zinazoingia nchini zinatoka kwenye nchi hiyo tu? 3. Na hizo chanjo pia zote zinatoka Huko?. 4. China ni marafiki zetu tangu uhuru, je na...
  16. A

    TANZIA Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Dkt. Servacius Likwelile afariki dunia

    RIP mzee wa MKUKUTA japo PHD thesis yako ilikwenda na awamu ya nne.
Back
Top Bottom