Plenty more nice gal out there fi slam, one million, two million
Dolly house an' stuckie a nah part a we plan
We haffi sample every nation,me sing
-Plenty More Gal "Buccaneer"
Biblia ni kama methali za Kiswahili, nafikiri na sisi tungeendeleza methali zetu, hadithi zetu na historia zetu, tungeweza kuwa na kitu kama Bibliayetu.
Kwa nininasema Biblia ni kama methali za Kiswahili? Biblia ina mambo mengi sana, ila haina majibu, majibu unayo mwenyewe na utachagua Biblia...
1. Una assumption kwamba kuna Mungu - Mungu huyu unayemsema habari zake zina contradictions nyingi sana kiasikwamba kuamini yupoinabidi ujitoe akili, chiefly being the problemof evil
2. Una assumption kwamba Biblia ina majibu - Biblia ina contradictions nyingi sana kiasikwamba kuiamini inabidi...
For real for real? JF ni bonge la mtandao.
Kwa hiyo mmehamia kabisa huko? Beach nimezisikiana kuziona kwa mbali, ndiyo maana nikataka kuja.
Itakuwa kitu ambacho sikutegemea kabisa kukuta watanzania wamejikita huko.
Asante sana kunijulisha.
Da'Vinci
Swali lako zuri, lakini una assumptions nyingi potofu ambazo zinakupeleka pasipo.
1. Una assumption kwamba kuna Mungu
2. Una assumption kwamba Biblia ina majibu
3. Una assumption kwamba purpose nikitu cha lazima
Assumptions zote hizi ni potofu. Na kwa sababu umeanza na assumptions...
Ingewezekana kwenye box la kupiga kura kungekuwa na sehemu watu wanaambiwa "chagua nchi ya kwenda kuishi hapa, kama hujaridhika na maisha ya Tanzania" halafu watu wachague, Tanzania ingebaki na viongozi na familia zao tu.
Labda na wale Wahadzabe wachache ambao hawataki maisha ya mjini, pamoja...
Mtu anakwambia anahama CHADEMA kwa sababu chama hakina demokrasia, halafu anahamia CCMambayo mwenyekiti wake kakataza mikutano ya kisiasa kwa kuvunja demokrasia na katiba ya nchi.
Hapo hata mimi inakuwa vigumu kuamini kwamba huyu anahama chama sababu ya demokrasia.
The asinine absurdity and awkward audacity of this advocacy for avaricious ascendancy is asymptomatic of an acute and abhorrent affliction of acumen ailing the amygdala as well as the abdomen.
Kuna maoni yanayochukua kukubalika kwa sana sasa katika nyanja za saikolojia kwamba, ni vizuri watu kuachia hisia zao.
Kwa mfano, habari za kwamba wanaume ni shupavu na hawatakiwi kulia, angalau hadharani, zinapingwa, na wanasaikolojia wanasemakwamba mtu akijisikia kulia, halafu akajizuia...
Unaweza kuandika kama utani, wakati kuna msako tayari Watanzania gani wamewasiliana na Senator Menendez wa US (Democrat, New Jersey)mpaka Senator Menendez amemshinikiza Trump ateue balozi wa Marekani Tanzania ili balozi huyo asimamie demokrasia Tanzania.
US senator demands Trump action on...
GuDume zihurumie mbavu zetu.
Nimesoma nimefika hapo ulipozitaja hizo style nimecheka mpaka kifua kinauma imebidi niache kusoma kwanza maana naweza kupaliwa kwa kucheka.
Dhamana ni haki ya msingi kwa kesi zisizo za uhaini au kuua kama sijakosea.
Na wala haimaanishi kwamba hana hatia. Kesi inaendelea. Dhamana maana yake anatoka mahabusu/ polisi na kufuatilia kesi akiwa nje.
Kwa hiyo kama kakosea na serikali inataka kumuadabisha, dhamana haiondoi kesi.
Na kama...
Unajuaje huyu kalogwa, huyu anasemwa tu kwamba kalogwa, huyu anasingizia kalogwa, huyu ana utapiamlo tu, huyu ana ngwengwe, huyu ana kifaduro na huyu ana kifafa?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.