Akili ni nywele.... Unajua sitta ni mfanyakazi wa serikali kwa miaka mingapi? Ngazi gani? Mshahara gani? Aaaahahahahaha asingekuwa na mahali bora pa kuishi angekuwa ----- maana mishahara yote tangu sijazaliwa angekuwa ametupa chooni, achilia mbali mafao, malupulupu,biznes zake .... Acheni mawazo...
Mmmmmh eti kufuru🏃hiyo nyumba ni kufuru? Ngoja wakuonyeshe hao majambazi wenye kufuru za kweli.... Acheni mbwembwe, unasema kufuru ya mtu mwenye upeo wa kujua thamani ya mahali pa kuishi au uhalali wa kuipata? Sijaona logic
#uhalali ndio ishu, kachunguze kama si halali ndio upost tena
Njaa ni mbaya inafumba macho, huwezi tena kujali taifa lako ila tumbo... Baadaye hawa hawa huwa wanaanza kulalamikia ooh huyu rais aah rushwa imezidi mara eeeh uwezo mdogo wengine mafisadi waliotoa hela za kampeni ndio wanaongoza nchi kwa mikataba na zabuni nono .. #yatafuata
Mwl. Kutoka mpanda(0788248889 na 0714574749) anahitaji kuhamia mbeya vijijini... Yeyote anayehitaji kuhamia Mpanda kutokea mbeya vijijini, namba hizo hapo juu...
Kweli upeo huu ndio wanaongea sana..!! Maana vinalinganishwa vitu tofautiii.... Hivi hakuna ubalozi wa nchi za kiislamu Tanzania? Alf mbona hawataki kuhusika na taratibu zao wenyewe?? Mimi sitaki kuhusika na utaratibu wako, sitaki kuhusika na OIC maana malengo ni kuitangaza na kuieneza dini...
Jamaa anaonekana anamgando wa mawazao maana anadhani kusoma chuo kongwe ndio kujua mambo na kufundishwa vitu vizuri...... #CHUOKONGWE HAKINA WAALIMU WAPYA??? Chuo kipya hakina WAALIMU WAKONGWE?????? Thatz why kuna watu WANAWAITA WENGINE NYANI, SI KWA MUONEKANO ILA KWA AJILI YA AKILI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.