Search results

  1. D

    MARLAW mzee wa kiduku aachia website ya ukweli sana

    nimeona picha Marlaw zake alikuwa U.K anatwanga Show na Juakali kwa wabongo na wakenya wa huko, kweli ilikuwa poa sana, na ndio jamaa anazidi kuitangaza bongo mpaka mbele mbele na staili ya kiduku. kwa picha bonyeza hapa Marlaw's Fans Photo of the day | Marlaw
  2. D

    MARLAW mzee wa kiduku aachia website ya ukweli sana

    jamni mbona mnaleta mambo ya siasa na muziki, hebu tumpongezeni kijana wetu mtanzania Marlaw kwa hatua anazopiga deily, watanzania ni watu wenye wivu sana especially pale mtu anapofanikiwa. zaidi hubaki kuponda tu, wenzetu wazungu mtu anapofanya kitu kizuri hutuzwa na kusifiwa na pia watu wengi...
  3. D

    MARLAW mzee wa kiduku aachia website ya ukweli sana

    hapo umeongea mkuu, ninyi ndio watu mnaopenda maendeleo, kweli bio inakoseka hope jamaa atakuwa analifanyia kazi, swala ni kuangalia mapungufu kama hayo na kukosoa, hope jamaa nalifanyia kazi swala la Bio maana ni muhimu sana kama Wimbo na ala
  4. D

    MARLAW mzee wa kiduku aachia website ya ukweli sana

    MARLAW mzee wa pii pii ameachia website ya ukweli sana ambayo sijawahi kuona toka kwa msanii yoyote hapa bongo mwenye website kali na ya ukweli kama hiyo. muziki unasikika clear sana, na website imepangiliwa kiukweli sana na inavutia. huo ni mwendo mzuri wa kijana Marlaw ambapo na wasanii...
  5. D

    Siri Imefichuka! Babu wa Loliondo ametumwa na Shetani

    Umepost upumbavu tu hapo, kuna siri gani hapo wewe, bahati yako sikujui tu ndio maana umepoana, zaidi ningekupiga vibao maana umenifanya nipate hasira kishenzi na unaichafua biblia takatifu. Panzi mkubwa wewe
  6. D

    Mgomo mwingine walipuka IFM

    uanjua viongozi wa bongo ni wazembe sana, hasa hawa wanaoitwa wakuu wa vyuo, mimi nategemea wawe na busara na uongozi mzuri zaidi bcoz wana elimu ya kutosha amabayo wengine hawana ya uprofesa lakini ni madudu tu. huyo professor wa ifm nilikuja na nikamsikiliza pale nikaona hakuna cha msingi...
Back
Top Bottom