Search results

  1. M

    Rais Magufuli atangaza kiama kwa mitandao ya simu

    Ukisha wapa dawa wao wanatoa mara mbili kwetu
  2. M

    Mchungaji Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Uwezi kuchukua muda mrefu kuwajua watu, na huyu tumemjua, utawajua tu
  3. M

    Kichekesho cha Wanyambo kujiengua kabila la wahaya!

    Wote wakiwemo wanyambo ni Wahaya
  4. M

    Meya Boniphace Jacob amfungukia RC Makonda

    Laana ya wazazi,laana ya Mzee Warioba
  5. M

    Kardinali Pengo: Watu wasisambaze chuki, Kanisa Katoliki haliendeshwi kwa ruzuku ya Serikali

    Tungetemea Shule zilizo chini ya taasisi za kidini karo zao zingekuwa chini lakini wapi...kwasabu karibu vifaa vyote wanavyo import vinaingizwa nchini bila kodi
  6. M

    Ubalozi wa India ''Bravo"

    Jaribu ya Canada siku nyingine
  7. M

    Mitego ya mke wa Mchungaji nimeichoka!

    Ujasema ni Mchungaji wa mini
  8. M

    Mahubiri ndani ya mabasi ya mwendo kasi ni kero

    Kero ni wale wanaomba sadaka au kukunali kupokea sadaka ,sadaka utolewa madhabahuni kwn mabas hakuna madhabahu wapuuze hao.Kwa swala la injili furahini kwa hilo,itakuja siku utatafuta wa kujuhubiria hutampata
  9. M

    Humphrey Polepole: Tusiwatukane wapinzani

    Mtu Yeyote anaye waponda wapinzani uelewa wake uko chini sana, bila upinzani tusingekuwa hivi, hata CCM yetu inajipanga upya kwasababu ya timi imara ya Upinzani.
  10. M

    SERIKALI YA CCM WANAAMINI WATANZANIA WOTE NI WAJINGA

    Wanyonge tena wataumia Mara mbili unit zitapanda na bidhaa zitapanda,ndugu zangu si mnakumbuka kilichotokea bungeni?tuliambiwa VAT iliyoowekwa kwn makampuni ya mawasiliano itawahusu wao yaani hayo Makampuni, kwa sasa ukinunua vocha unaletewa mchanganuo,wabunge wanapewa muda wa maongezi mwaka mzima
  11. M

    Profesa Muhongo aiagiza TANESCO ishushe bei ya umeme

    Hivi wanapokuwa wanapanga bei Tanesco hawatoi taarifa Wizarani?
  12. M

    Tamko la Zitto Kabwe kuhusu madeni anayodaiwa, mshahara na mali alizonazo

    Jamaa kumbe wanavuta mkwanja? Turudi enzi za Nyerere wanasiasa walipwe kama walimu alafu sek ta nyingine walipwe kama wabunge,wrote watarudi kazini kwao
  13. M

    Serikali iache kudanganya Wananchi, hakuna Elimu Bure

    Tuanapokuwa tunaongea mambo ya kitaifa tauche upambe,kweli ni hatua nzuri ya Serikali iliyochukua,na bila kinyongo tunampongeza Rais wetu mpendwa,lakin mimi kama mzazi ningeomba mzigo mkubwa uchukuliwe na Serikali,kuna michango mingi midogo inayotuumiza,pili mimi kama mzaz nauliza ni kwa nini...
  14. M

    Saed Kubenea: Ndumilakuwili mbobezi

    Kuna Jina limetajwa kwn Makala yako nafikiri ndiye amekutuma
Back
Top Bottom