Search results

  1. TheChoji

    Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

    Sema kuna kamoja nilikua nako kalikua kasumbufu jamani khaa.. kila saa kanataka mchati, ukatumie meseji, mara video call, ukasifie, ukape hela, yaani ilikua bado kidogo wife atudake. Nikaona kataniletea matatizo nikapiga chini kimya kimya.
  2. TheChoji

    Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

    Mkuu hapo ntapingana na wewe. Nakumbuka wakati tupo sekondari mabinti wengi wa age yetu walikua wanatoka na majamaa ya mtaani makubwa kinoma kipindi hicho yanakuja kuwachukua na magari sisi tunaonekana vinuka mkojo hatuna kitu. Sasa saiz tumekua wakubwa, nasisi tuna vihela na vigari, unataka...
  3. TheChoji

    Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

    Sio kidogo.. mpaka kuna saa hua tunaapa kabisa kuachana na hayo mambo lakini wapi bana. Sijui nani alituloga
  4. TheChoji

    Ujinga niliokutana nao wakati na-date na kitoto cha 2000s

    Kuna kamoja nimeanzana nako jana wacha tuone itakavyokua :)
  5. TheChoji

    Maajabu: NHIF yashika namba 1 kwa mashirika ya umma yanayotengeneza hasara

    Jana nimecheka sana kusikia eti kuna timu maalumu ya kwenda kuwaombea msamaha hawa waliotia hasara kwa Mh Rais. Nikazidi kucheka zaidi sana niliposikia eti wahusika wanachotakiwa kufanya ni kujutia makosa yao na kuahidi kutokurudia tena basi wanasamehewa..🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  6. TheChoji

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Watu wengi hawajui tofauti kati ya MENEJA wa biashara na MFANYABIASHARA. Wengi wanadhani meneja ni mfanyabiashara! Kumbe meneja yeye ni MSIMAMIZI wa biashara na wala sio MFANYABIASHARA, maana yeye hajawekeza chochote kwenye hiyo biashara. Ndio maana kwa meneja anaweza kuona kama kumpoteza mteja...
  7. TheChoji

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Ni makosa kuweka vitu vya aina hiyo kwenye biashara. Mteja anayo haki ya kulalamika endapo akikuta vitu hivyo.
  8. TheChoji

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Sisi watanzania kwetu mtu kulalamika ni sawa na kuleta fujo. Sisi ukifanyiwa chochote hata kama kimekuudhi, ukiulizwa vipi unasema "safi tuu". Wenzetu wanajua haki zao na wanapoona zinakiukwa hawakai kimya, sisi tunawaona wakorofi.
  9. TheChoji

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Elimu ya bure Kibiashara ni kosa kuweka kitu chochote chenye maudhui ya kisiasa, kidini, itikadi michezo nk katika eneo la biashara. Ndio maana hata jezi za timu za mpira, bendera, stika, au nguo za chama haziruhusiwi eneo la biashara/ofisini. Infact hata aina ya muziki unaopigwa sehemu ya...
  10. TheChoji

    Nipe ratiba ya mstaafu aliyekaribu nawe

    Kuamka Kunywa chai Kwenda kununua gazeti Kulisoma Kula cha mchana Kumalizia kusoma gazeti Kula cha jioni Kuangalia taarifa ya habari Kulala
  11. TheChoji

    Kipi kinasababisha barabara za New York kuwa na hali mbaya?

    Wanashindwa nini kumwaga kifusi hapo au tuwapelekee wataalamu wetu wa kukarabati barabara 😀
  12. TheChoji

    Peter Msechu acha comedy kwenye afya yako, utakufa premature utuachie mkeo, watoto wako watateseka

    Nje ya mada Kitu nilichokuja kugundua.. Kijana (hasa mwanaume) ukianza kushika hela in your 20's, na ukakosa control hasa kwenye vyakula na mazoezi, ukafakamia mabia, manyama choma na makitimoto, by the time unagonga 30 -35 tayari una obesity. Usiposhtuka, ukifika 40 tayari una kisukari na...
  13. TheChoji

    Rihanna Hana makosa kuvaa nguo za Masista

    Mbona sioni hizo nguo za masista..?
  14. TheChoji

    Naomba ufafanuzi wa dawa aina ya amitriptyline

    Mwaka juzi nilizitumia sana hizo dawa wakati nikiwa nasumbuliwa na maumivu makali ya nerves. Nilikua nameza hizo pamoja na pregabalin na madawa kibao ya kutuliza maumivu. Zina usingizi balaa ila tatizo lake nilikuja kuliona baada ya kumaliza dozi. Usingizi nilikua nautafuta kwa tochi kuna siku...
  15. TheChoji

    Mke wa zamani wa Ricado Kaka afunguka sababu za kumsaliti mume wake, adai utakatifu wa Kaka kwake ulimboa

    Mwanamke akishajua yuko peke yake kwako anaanza kuwaza kwamba usikute hapa nimeingia choo cha kike, mbona hamna mtu mwingine anaelitaka hili jamaa? Ila akiona una mishemishe nyingi, mara vimeseji, simu, nk anajua yes.. hapa ndio penyewe!
  16. TheChoji

    Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

    Mijadala yote ya aina hii huwa iko based kwenye ONE WRONG ASSUMPTION! Watu wengi sana wanaofanya biashara hua wana assume kwamba kwavile wao wameweza kufanya biashara na kufanikiwa, basi MTU YOYOTE anaweza nae kufanya biashara na kufanikiwa! Mfano mleta mada anaona kwavile yeye ameweza kukuza...
  17. TheChoji

    Mtu anapomtukana mwenzake anafaidi nini?

    Suala la kutukana ni malezi na makuzi ya mtu. Infact kuna watu wao kutamka matusi kwao ni kawaida tu hata katika maongezi ya kawaida. Mimi binafsi huwa siwezi kabisa kutamka maneno ya matusi hata iweje, na hua namshangaa mtu anaetamka matusi hasa mwanamke.
  18. TheChoji

    Dhana ya "kusaidiana" maisha na mwanamke katika utafutaji ni ya wanaume dhaifu na wajinga sana

    Ungemalizia kwa kutoa "recommendations" za nini kifanyike ungekua umetisha sana.
  19. TheChoji

    Wanaume mpewe nini mtulie?

    Lakini utafiti uliofanyika majuzi dar es salaam ulionyesha wanawake ndio wanaongoza kwa kuchepuka.
  20. TheChoji

    Nimeamini wanaume hawaaminiki

    Mimi hua naona ni heri mtu uujue uhalisia ili hata likitokea la kutokea usishangae saana, kuliko kudhani kwamba mtu ni malaika kumbe ni binadamu na ana mapungufu yake.
Back
Top Bottom