Search results

  1. M

    Kipi bora: Uhuru au Ukoloni??

    Nakubaliana na wewe Shiumiti maana sisi tungekubali mkoloni atutawale kwanza atupangie miji na kutujengea barabara nzuri na kutuletea maendeleo kidogo then ndio tungedai uhuru wetu sasa tukadai uhuru wakati sisi wenyewe bado mambumbumbu sasa ona faida yake. Mafuriko, Wizi, Magonjwa na nk lakini...
  2. M

    Tanzania YETU: Je, ni jamii ya vilaza na viongozi wa Kiimla na Ukurupukaji?

    Mimi nakubaliana na Recta kabisa maana kila siku Tanzania tunaomba msaada hatuishi kuacha kuombaomba misaada kwa nchi tajiri kwa kisingizio kuwa sisi maskini. huu umaskini ni wa kujitakia kabisa maana ukiangalia hospitali zetu ni matatizo matupu maana ni kweli kabisa aliyetulaani kafa na...
  3. M

    Blog za kina dada

    Nyani Ngavu thats not fair wee unadhani wanawake saa zote wanawaza umbea tuu na kuparty acha maneno yako you should apologies to them.
  4. M

    Mwanaume Mjamzito' wa Marekani Ajifungua Mtoto wa Pili

    Huyu wala sio mwanaume alizaliwa mwanamke ila baadae ndio aliamua kujibadilisha na kuwa mwanaume kwa hiyo sio kitu cha ajabu kabisa kama uliangalia 60 minutes alikuwa anahojiwa na Barbra Walters. Ndio Dunia jamani
Back
Top Bottom