Search results

  1. B

    Capt Komba aropoka, awaita maraisi wa Kenya, Uganda na Rwanda wa ajabu ajabu

    Nedakaishi huko kwamaraisi walo makini kwa kuuana. Time will tell. Thank God they have lost the war ,shame on them.
  2. B

    Capt Komba aropoka, awaita maraisi wa Kenya, Uganda na Rwanda wa ajabu ajabu

    Kagame,and Museveni,they're good at nothing these bloody hungry they should be abandoned in the cold. Fighting proxy war with our soldiers. Kuendelea kuwakumbatia hawa manyangau ni kutokuwa makini. Nikama tunacheza mchezo wa kuigiza. Ndugu zetu wameuwawa na risasi za warwanda.
  3. B

    Enzi hizo: Kitabu cha kusoma kwa hatua

    Mkuu ,asante kwa hizo classics. Hebu tulia picha ya manenge na mandawa.
  4. B

    Evidence that kenya was supporting renamo and apartheid south africa.

    A useful piece of information. Connect the dots......
  5. B

    Capt Komba aropoka, awaita maraisi wa Kenya, Uganda na Rwanda wa ajabu ajabu

    Dead ending. Hakunaga njia fupi kufikia maendeleo ya Kweli.
  6. B

    Capt Komba aropoka, awaita maraisi wa Kenya, Uganda na Rwanda wa ajabu ajabu

    Maraisi watajwa kweli ni wa ajabu ajabu. Kagame is a dictator nd a hypocrite,bloody hungry. Museveni nae ni dictator mzuri tu. Kenyatta anatakiwa kwenda ICC. Hivi vichwa vina walakini .
  7. B

    Capt Komba aropoka, awaita maraisi wa Kenya, Uganda na Rwanda wa ajabu ajabu

    Hamia huko kulikojengeka. Tumezoea uhuru,jamii iliyo huru kajenge nawe huko mnakojenga kwa kuogopa mtutu.
  8. B

    Wako wapi Mashujaa wa Uhuru wa Tanganyika?

    Nafikiri haijarishi mababuzetu waliipigania uhuru wa nchi hii walikuwa ni wa dini gani au kabila fulani . Kwa maono yako walifanya hivyo kwasababu tu walikuwa waisilamu? I don't think so. Your argument holds no substance. Nivizuri tuwakumbuke na kuwaenzi ipasavyo.
  9. B

    Mshahara wa Rais kaa la moto

    Mugabe ni mzalendo saana. Nikiongozi wa ukweli maslahi ya nchi na wananchi yana pews kipaumbele
  10. B

    Msaada wa chanjo za kuku kwa wafugaji wa kuku wa kienyeji na chotara

    Mama Joe tuwekee majina ya hizo dawa feki . Haya mambo yanaturudisha sana nyuma sisi wakulima na Tanzania kwa ujumla . Wahusika wa chukuliwe hatua kali.
  11. B

    Fahamu kuhusu Uchawi wa Mapenzi (Limbwata)

    I don't think if it works at all .
  12. B

    Marehemu Mushi kusafirishwa Alhamisi kwenda Uru Moshi

    Lila jambo hutokea kwasababu. RIP Mushi. Tutajua kilichotokea muda simrefu
  13. B

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Naomba ufafanuzi nduguzanguni ,Je kuku akichanjwa ndiu kwa mara ya pili kuna tatizo? Nauliza hili swali kwasababu nimenunua kuku wa mbegu mitetea na majogoo kutoka kwa wakulima wenzangu sasa sina uhakika kama walipewa hii chanjo muhimu ya ndui. Je ni vema niwachanje wote tena?
  14. B

    Mnamuonaje huyu Jamaa (King of Romantic)

    What's king of romantic?
  15. B

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Kiongozi asante kwa ushauri mzuri, hii kitu ninataka niifanye full time mimi mwenyewe ,nimesha watembelea jamaa kama wawili ambao wanafuga hawa kuku wakienyenji na wanafanya vizuri. Lakini mie jinsi ninavyofikiria ntakwenda hatua kadhaa mbele. Licha yakutaka kuwa boss of my own ,nina pendasana...
  16. B

    28-9-2013 vpl live updates: Yanga vs Ruvu S, mbeya city vs coastal, rhino vs kagera,oljoro vs mgam

    We are young africans, we are free!! Tunaelekea kwenye nafasi yetu.
  17. B

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Kuku wa kienyeji kama unawafuga kwa mtindo wa free range waweza kufuga wengi kulingana na ukubwa wa shamba lako,na hautingia gharama kubwa ya kuwalisha. Na ukitaka kuuza utauza taratibu bila shinikizo lolote
  18. B

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Nimehamasika sana,ninashamba kama heka kumi Nataka nifuge kuku hawa wakienyeji ntaanza na kuku majike 50 majogoo 5 ,kwa kufuata maelekezo nloyapata huku,ntatoa marejesho baada ya miezi 6.
  19. B

    Mwanajeshi na muhamiaji haramu kigoma

    Wahego agastori nigasore wacu .
Back
Top Bottom