Search results

  1. S

    Ukweli kuhusu Mabilioni ya NIDA: Kulinganisha NEC na NIDA Kimantiki

    Mie nadhani kuwa server za Nida kutokana na architecture yake ni centralized kwa maana taarifa zote zinakusanywa kutoka kwenye wilaya na kuletwa central kwa ajili ya kutoa rudufu na kuzalisha kitambulisho . Aidha kwa mantiki hiyo kila wilaya inatakiwa kuwa na server yake kwa ajili ya kuhifadhi...
  2. S

    Ukweli kuhusu Mabilioni ya NIDA: Kulinganisha NEC na NIDA Kimantiki

    Smart card ziko contact na contactless na cha Nida ni contactless
  3. S

    Nimwacheje Mpenzi huyu?

    Wadau wa JF Nawashukuru sana kwa ushauri wenu , na kweli hapa ni kituo cha kupata majawabu . Pasipo na taarifa na ushauri kweli maaangamivu ni dhahiri. Kwa hilo Bravo saana. Kuhusina na mada ya “Kama ungekuwa wewe ungefanyeje” Nimefanya uchunguzi wangu kulingana na maoni mabalimbalai ya...
  4. S

    Mbaya wangu ni huyu

    Imefika muda nimemgundua jamaa anayenimegea mpenzi au mwenzi wangu na nimepata uthibitisho, na nikimwambia mpenzi wangu anakataa , je wadau ni muafaka nimwambie amwache mpenzi wangu au nimwendee kwa sangoma wamfanyizie au wamshushe busha au vipi wana JF wazoefu
  5. S

    Ni dalili zipi zinazoweza kuonyesha mpenzi wako kafanya tendo la ndoa kwingineko?

    Jamaa yangu aliniuliza swali nami sikupata jawabu, alisema yafuatayo 1. je utajuaje kuwa leo mkeo au mpenzi wko amemegwa na jamaa ni dalili zipi za wazi kabisa? a)....... b)....... c)....... d)....... n.k 2. Je ukimpata mwanamke uatajuaje kuwa anatoa tigo? Mjadala uko wazi , tumsaidie jamaa yetu
  6. S

    Kama wewe ungefanya nini

    Una mpenzi wako unayempenda sana na unamtimizia kila kitu na umekaa naye takribani miaka kama mitano hivi . Halafu ilitokea amekwenda shule kusoma na ukamsaidia kwa hali na mali na jinsi ulivyoweza. Cha kushangaza shule kuna mambo mengi inatokea wanasoma na kijana mwingine ambaye wanakuwa...
Back
Top Bottom