Search results

  1. Joachim J Lyimo

    Naoa hivi karibuni.msaada plz,ni wapi naweza pata huduma hizi?

    Kaka unaweza ukanielekeza mahali ambapo ninaweza kupata kwaajili ya kukodisha?
  2. Joachim J Lyimo

    Naoa hivi karibuni.msaada plz,ni wapi naweza pata huduma hizi?

    Siku hizi bei za kukodi gauni zikoje siku hizi?
  3. Joachim J Lyimo

    CV: Natafuta kazi ambayo itaniruhusu kupumzika hata Jumamosi tu.

    Kwani Yesu si alikuja kwa ajili ya watu wa taifa, lugha, kabila na jamaa zote?? Njoo Kimara SDA jumamosi utanikuta mkuu
  4. Joachim J Lyimo

    Kilimanjaro - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Inamaana mmehamua kusafisha huo mkoa?
  5. Joachim J Lyimo

    Ruvuma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Hapa Lizaboni jimbo la Songea Mjini nimekwisha timiza haki yangu ya kikatiba.
  6. Joachim J Lyimo

    Bao la Mkono: Fomu za matokeo zaongezewa kipengele kipya kinyemela

    Jana nilipiga simu NEC wakasema kupiga kura ni mahali ulipojiandikisha. Mimi asubuhi kesho ntakuwa njiani kufuata kituo changu huko kusini mwa nchi.
  7. Joachim J Lyimo

    CHADEMA wamuweka Magufuli mtu kati Jijini Mwanza

    Dar es salaam itakuwa 9 dhidi ya mmoja wa Lowassa
  8. Joachim J Lyimo

    Mktano wa Lowassa kutoka Ifakara leo Oktoba 22

    Wakati tukiwa ulanga tulikuwa tukisikiliza ile ya ifakara ambayo nakumbuka studio zake zilikuwa karibe na deport ya PEPSI hapo Ifakara. Hiyo Ulanga Fm itakuwa live? Maana naona Lowasa anakwenda Malinyi tu kulingana na ratiba. Nadhani angeenda Mahenge pia
  9. Joachim J Lyimo

    Mktano wa Lowassa kutoka Ifakara leo Oktoba 22

    Hii ni Ifakara? Kwani mkutano si jioni? Last time kulikuwa na tuhuma za kuchakachua. This time ni Lijualikali?
  10. Joachim J Lyimo

    Mktano wa Lowassa kutoka Ifakara leo Oktoba 22

    Hii lugha ya kigeni uko fiti. Ifakara napajua. Napapenda pia. Nilikuwa Ulanga Mkurugenzi akasema wana mpango wa kuanzisha Ulanga FM. Ilishaanzishwa? Nakumbuka ilikuwa 2010
  11. Joachim J Lyimo

    Mktano wa Lowassa kutoka Ifakara leo Oktoba 22

    Mbeya tuliipatia AzamTv
  12. Joachim J Lyimo

    Mktano wa Lowassa kutoka Ifakara leo Oktoba 22

    Wenye mamlaka wathibitishe.
Back
Top Bottom