Search results

  1. Kimbojo

    Ni kwanini majambazi wa Stakishari hatukuonyeshwa sura?

    Mkuu sinema za Kijeshi!!!!!
  2. Kimbojo

    Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!

    Mkuu, tumekuelewa ahsante, hii message ni kwa woote wanoendesha magari, sio binafsi tu. La mhimu zaidi ni kuzidisha umakini maana wewe utafuata sheria zote atakuja mwehu mmoja akakumaliza. Kila la kheri
  3. Kimbojo

    CV ya Dr. Francis

    born academician? ///
  4. Kimbojo

    Mwili wa Mtanzania Marekani Wachomwa Moto Kwa Kukosekana Dola 6,000 Tu Za Kimarekani!!

    Hii stori ni kama vile mwendelezo flani hivi, kama ndivyo hivyo, wengine hatukuona mwanzo. huyo bwana sababu ya kifo ni nini?
  5. Kimbojo

    Zitto: Tuboreshe Rasimu iliyopo - Adai hajafurahishwa na Hotuba ya Warioba na Rais Kikwete

    Hapa tabu imekuja baada ya muundo wa hotuba ya ufunguzi wa bunge maalumu. Hapa nilitarajia /tulitarajia hotuba ya ufunguzi ambayo si kuchambua hoja za rasimu iliyowasilishwa na jaji Warioba. hichi ndicho kilichokuwa kikiitwa na AG seremonial speech? hivyo bwana zito hotuba hiyo ya mzee wako...
  6. Kimbojo

    Anguko la CHADEMA lipo njiani

    Sio lazima kupost, unaweza kuchangia kwa wenzako wanaopost kamba za kueleweka afu ukaongeza idadi za post na rep power. Kamba haieleweki mamdenyi!! review
  7. Kimbojo

    Marhaba..... Looking butiful!

    hakuna la maana zaidi ya kufanya marketing ya bidhaa yake tu.
  8. Kimbojo

    Wanawake wachaniwa nguo Mwanza

    Mkuu, kumbe unampenzi anavaa nguo za nusu uchi?, poole, inawezekana nawe unavaa suruali nusu makalio!!!
  9. Kimbojo

    Kitanda chako na mke au mume Wako

    No , kitanda cha ndoa kiheshimiwe haiwezakani kabisa. Mgeni atatafutiwa chumba sehemu nyingine, assume umemkaribisha mtu chumbani kwenu afu ghafla mwenzio anarudi ucku, itakuwa aibu.
  10. Kimbojo

    Wanawake wachaniwa nguo Mwanza

    tandika na viboko pia, wamezidi saana
  11. Kimbojo

    Ipi njia sahihi ya kutumia wakawati wa kuduu mwanamke akiwa danger zone?

    Njia sahihi ili ashike mimba au kuepuka kushika mimba?
  12. Kimbojo

    Red bull inahatarisha maisha hasa kwa vijana

    Ahsante, hivi huwa haina TBS ? sijawahi kuitumia, umeninusuru sitajaribu ila naona madereva wanakula sana hiyo bidhaa,
  13. Kimbojo

    Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Iramba aachia ngazi

    Sijakuelewa, nimemsema yule aliyejiuzulu kwasababu alizozitaja, sasa hapo sijui nini
  14. Kimbojo

    Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Iramba aachia ngazi

    Huyo ndiye anaukabila mkubwa kuliko maelezo, eti anaondoka kwa sababu ya Kitila ambaye ni kabila lake, anataja pia mwigulu ambae pia ni wa kwao. Hakuna haja ya kutangaza watu kama hawa.
  15. Kimbojo

    Tanzia: JF tumempoteza Member mwenzetu K007

    RIP mwanajukwaa, Kwani uchunguzi wa polisi na madokta wameshindwa kubaini chanzo cha kifo,
  16. Kimbojo

    Unalala na ch.upi kwani mimi ndugu yako ?

    Mhh, POPO BAWA bado wapo, atakumalizia!!
  17. Kimbojo

    => Kama SEX ni RAHISI HIVI KUPATA...hakuna haja ya KUOA...wallaah..!!!!!

    Utakuwa unaumwa ugonjwa ambao haujulikani ila umeenea kila sehemu ya mwili wako. POOLE,
  18. Kimbojo

    Kesho, Jumatatu ni siku ya mapumziko Tanzania Bara na Zanzibar

    tuliwahi kukubaliana kwamba holiday ikiangukia weekend halipwi siku za kazi, mbona hatuna principals muhimu kama nchi. sasa hii ni kwa mda au ndo tumerejea yale ya mzee wa ruksa?. kiukweli wameathiri mambo mengi nchini, mf. kuna kesi zilitakiwa zitolewa hukumu kesho, kuna barua za mhimu...
  19. Kimbojo

    Tanzia: Nimempoteza baba mzazi leo mchana Muhimbili Hosp

    Hongera mkuu kwa kupata muda na ujasiri wa kuingia jukwaani ukiwa na majonzi mazito.
  20. Kimbojo

    Eti wanaume wa kabila gani wamejaaliwa neema za mwenyezi mungu?

    Kwahiyo unatafuta kuolewa au, afumbona kama vile huna adabu,tabia mbaya kwa waume za wenzako? sijakufahamu vizuri
Back
Top Bottom