Search results

  1. Darius

    Fiesta Morogoro

    Kumbukeni kwamba hii ya EFM ni show ya bure!!
  2. Darius

    Kwanini Simu za iPhone zina specifications ndogo?

    So which is which!? Samsung s6 edge or IPhone 6s!??...... Maana nashindwa fika conclusion hapa .....comments bado zinahitajika!! Nataka niingie shop nidake moja wapo.
  3. Darius

    Badili mtazamo wako kuhusu BMW

    !and; at at at at p;_71&:6: Y;tiff;
  4. Darius

    Awesome Results: Ndanda Secondary School

    Was there 2011/2013 ....congratulations my old school!!!
  5. Darius

    Sane atemwa timu ya taifa kutokana na kutokufiti kwenye mfumo

    Hahahahaha.....Mwalimu Kashasha noma sanaaaa.....Daah mecheka kichizi!!
  6. Darius

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    hamna namna....hata hii itafaa kunisogezaa .....Ntakutafuta mkuu.
  7. Darius

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Shukrani kiongozi.....isiyokuwa smart jee!? How much!?
  8. Darius

    Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    @Abdulwahid mkuu uliniuziga Samsung Smart TV mwaka juzi......nimerudi tena mkuu ile TV wamevunja mlango wameiba....!! Sasa hivi nataka brand yoyote ndogo i.e TCL Inch32 (isiwe smart) ......!!! Sh. ngapi sijui....maana world cup hii kinyonge.
  9. Darius

    NBA 2017/2018 Season Special Thread

    Nice
  10. Darius

    Kuelekea Msimu mpya wa EPL tupia Top 4 yako hapa!

    Respect Mkuu.......Umetisha!
  11. Darius

    Simba kushuka dimbani na Al Masry ya Misri tarehe 6 na 16 Machi 2018

    Haloo CAF.., Simba wakitaka kujitoa kwenye huduma hii eti wabonyeze ngapi!?
  12. Darius

    The Kingsman 2: The Golden circle Movie Premier!

    Ya kwanza ilikuwa kali ila hii ya pili....sio kiivo.
  13. Darius

    Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

    Mkuu lusungo nitumie mwaliko basi na mimi nijilipue!! Shule ishaisha huku!
  14. Darius

    Tuliosoma mchikichini tution tukutane hapa tukumbushie vituko tulivyokutana navyo

    Mkuu naona kila ulipopita mchiki down na mimi nimepita.......umemaliza mwaka gani!? O level n A level....!? inawezekana tulikuwa tunagombania wote milango.!
  15. Darius

    Pata ushauri kuhusiana na masuala ujenzi, uchoraji ramani,ukadiriaji vifaa na wataalam kutoka chuo cha Ardhi:

    Chuo cha Ardhi [emoji777] Chuo kikuu Ardhi [emoji818] Qs hapa! Thanks.
  16. Darius

    Wajuzi: Ni kweli treni ina sumaku ya kuvuta gari linapopita karibu yake au ni hofu ya dereva?

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] !! Nice try! Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Darius

    Mambo 20 yaliyotusumbua shule za msingi

    Namba 16 hio[emoji2] [emoji2] [emoji2] Nakumbuka Alhamisi siku za usafi shuleni!! Siku umedharau kukata kucha ndo siku hio hio walimu wanabase kukagua kucha. Noma sanaaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Darius

    Mfumo wa maji taka Dar wataalamu wetu wameshindwa kabisa kuuboresha usilete madhara wakati wa mvua?

    Shule kubwa sana hio na ni project kubwa sana kwa mji ambao ushajengwa tayari....!!! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom