Search results

  1. P

    Denti auwawa kwa wizi wa Pera

    Wamekwibia nini? Kama wao wangekuja kwenye shamba lako kuiba ungeliwaachia wamalize kila kitu? .Mikopo kila mwananchi anapewa akiwa na uwezo wa kulipa.Usitoe malamiko yasio na busara. Wewe usilaumu ,chapa kazi. Utaona wapi utafika. Mtu anayetoa lawama hovyo anakuwa ameifunga akili yake kimaendeleo.
  2. P

    Denti auwawa kwa wizi wa Pera

    Maneno mengi ni yani nini? Akiwa mburushi, mwarabu, msangu au mzungu. Mwizi ni mwizi. Na shangaa chuki ni yanini ardhi Tanzania iko tupu kila mahali. Watu wenyeji wa Rujewa wengi wao ni wavivu tuu wanapenda kunywa ulanzi na kukaa kwenye magenge na kuteta. Wanawalaumu maburushi . Maburushi ndio...
Back
Top Bottom