Acha woga, hii ni fursa ya kubuni vyanzo vipya vya nishati. Huwezi kusikia Mchina analalamikia issue kama hizi. Yeye atawauzia vi Moped kibao vinavyotumia betri, na vingine vitakuwa vya kuchajiwa kwa Solar, nyie endeleeni kulala tu. Mnawalipa maprofesa wa art hela ndefu wafanye utafiti wa...
Sina uhakika kama kweli mleta thread hana uelewa wa kutosha juu ya kile kinachosababisha taarifa iwe ya kuaminiwa au anao uelewa bali ameamua kujitoa akili katika hili jaribio la 'kutikisa kibiriti' cha kupima uwezekano wa kumvua Nassari ubunge.
Kwa nini nasema hivyo? nilitarajia aone kasoro...
Umeshindwa kuwasilisha mada kwa kichwa stahiki, kumbe tatizo nileseni tu?
Kichwa cha habari kilipaswa kuwa:
SERIKALI YAPIGA MARUFUKU USAFIRISHAJI WA VIFURUSHI BILA LESENI
Kama Kikwete angetenda haki na kuupa jina stahiki la Mkapa Stadium ule Uwanja mkuu wa Taifa, leo hii tungekuwa na kila sababu ya kudai Tazara Flyover iitwe Kikwete Flyover
Hili swala liko wazi sana, ni swala la kisera zaidi. Mwajiri yeyote duniani hatopendelea mtumishi wake atumie muda wa kazi kufanya mambo binafsi. Binafsi nilikasirika sana na kuchukia siku moja nilipoenda kulipa bill TTCL zamani fulani hivi, halafu nikakuta makarani wantumia muda wa kazi kunywa...
Well said!
So, 200,000/ vs 2,139,000/= (930 x2300) ni kielelezo tosha kwa wenye macho kujua kile hasa kinachotafutwa. Hii haiwahusu wale waliopofushwa macho!
Washamba walikuwepo siku zote. Tofauti ni kuwa sasa washamba wamepata mtetezi. Hivyo ushamba huu utausikia sana , muda wote ambao mtetezi wa washamba bado amekabidhiwa rungu.
Mwanaume (Barrick) anapotaka kulala na demu (hasa wa kiafrika), huweza kuahidi chochote hata kumnunulia mlima Kilimanjaro. Demu hukenyua meno lakini wenye akili huwa wanajua mwisho wa hadithi tangu mwanzo.
Hata wanasiasa wenu wamewahi kuwaambia kuwa yale yalikuwa maneno ya kampeni tu, lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.