Search results

  1. W

    COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

    Niliposoma hii mada nikaingia kwa hamu kubwa nipate ushahidi wa uwepo wa Mungu, lakini mtoa mada hajaongea chochote cha ushahidi, anaishia tu kurudia maneno yale yale "... kwa IMANI yangu NAAMINI kwamba chanzo cha nguvu hizo ni MUNGU". Hakuna ushahidi wowote, bakini na imani zenu tu, kwani...
  2. W

    Kadi za chadema

    Mnaompinga mwanzisha uzi nawashauri jaribuni kutembelea maeneo ya vijijini ambako chama tawala kina nguvu, naamini mtamkubali.
  3. W

    Ajali Ifakara mjini: Basi na treni zagongana, watu wahofiwa kupoteza maisha

    Sijui tuwafanyeje madereva wa inji hii. Hili ni janga kubwa! Hata ukiwa Dar unaendesha gari, ukipunguza mwendo tu unapokaribia reli ili uangalie kabla ya kuvuka utasikia nyuma yako unapigiwa honi balaa, na pengine wataku-overtake kwa fujo! Nachotaka kusema hapa ni jinsi madereva wengi...
  4. W

    RASMI: Sitti Mtemvu sasa kuvuliwa taji la Miss Tanzania 2014

    Hivii, haya mashindano lazima yaandaliwe na Lundenga tu miaka yote!? Kwani hakuna wataalamu wengine wa mambo ya urembo?!
  5. W

    Sintopiga kura 2015,nimeshakata tamaa, hakuna wa kulinda kura yangu!

    Kumbuka pia hiyo bahari imetengenezwa kwa matone mengi ya maji! Kila tone likiamua kuondoka bahari yote haitakuwepo!
  6. W

    Tangazo kwa UKAWA wote

    mmhh! Mie siamini kama kuna kitu ambacho UKAWA wangefanya eti kizuie Katiba kupita. Mnawonea bure UKAWA, wamejitahidi kadri ya uwezo wao. Mie nilifikiri sasa mtaelewa kwanini walitoka bungeni badala ya kubaki wakipambana humo humo!!
  7. W

    Gharama za vifurushi vipya vya Airtel internet OMG

    Mie natumia Airtel modem (HUAWEI), napiga *148*88#, najiunga vizuri kabisa. Tatizo naona hizo points, kama vile .5 kwenye 3.5GB hawatoi, wanakupa 3GB only. alafu ukiuliza salio pia naona hupati figure zaidi ya hiyo hiyo 3GB uliojiunga nayo!
  8. W

    Gharama za vifurushi vipya vya Airtel internet OMG

    Yawezekana kweli maeneo tulipo pia yanachangia.
  9. W

    Gharama za vifurushi vipya vya Airtel internet OMG

    Lakini hata hivyo, ukipiga hiyo *148*88# unapata machaguo mengi zaidi ya hayo waliyoweka kwenye website. mfano, ukichagua OMG wiki unapata options hizi: 1. MB 600 kwa Sh 600 2. 1.2GB kwa Sh 900 3. 3.5GB for Sh 1700 4. 6GB kwa Sh 2500 5. 11GB kwa Sh 6000 Mie nilichagua 3.5GB for sh 1700...
  10. W

    Gharama za vifurushi vipya vya Airtel internet OMG

    Speed ni ndogo mno!! afadhali hata kobe!!
  11. W

    Rasimu ya Samweli Sitta yalisambaratishia mbali taifa la Zanzibar

    Kwa mujibu wa ratiba ya sasa ya BMK, Kamati ya Uandishi itawasilisha Bungeni Rasimu ya Katiba tarehe 22 Septemba 2014, Asubuhi. Sijui kama wataiweka kwenye tovuti yao au mpaka ufuatilie matangazo live. Na pia sijui wataisoma yote, mwanzo mpaka mwisho, au watatoa 'summary' tu.
  12. W

    Rasimu ya Samweli Sitta yalisambaratishia mbali taifa la Zanzibar

    Kwa wale waliopitia JKT, hasa enzi hizo, mlikuwa mnapewa magunia matatu ya mbegu za mahindi, mnaambiwa mkapande yaishe leo hii! Kinachofuata ni 'kutimiza lengo', YAISHE! Sasa wanachokifanya BMK ni kufikia lengo la kupatikana katiba. Ubora sio muhimu. Cha muhimu ifike siku, waite waandishi wa...
  13. W

    Haya ndo mapokezi ya Rais Kikwete USA

    Lakini hizo picha haziwezi kutoa ushahidi wa kuamini kwamba hayo ndio mapokezi. Jamani kuweni wagumu kidogo kuamini mambo kirahisi rahisi hasa kunapokuwa hakuna ushahidi wa kutosha kutoka kwa mtoa habari. Huyu mtoa mada angalau angeleezea kuwa yeye alikuwepo uwanja wa ndege tokea rais anaingia...
  14. W

    Kuahirishwa BMK maana yake ipo wapi ??

    Nafikiri watajitahidi waikabidhi hivyo hivyo tu hata kama itakuwa haijakaa vizuri. La sivyo, baada ya uchaguzi wabunge wengi hawatakuwepo na kutakuwa na wabunge wengine wengi wapya. Na tukumbuke hawa wabunge ndio wajumbe wengi katika BMK. Sijui itakuwaje tu!
  15. W

    DMV Kimenuka ni wazi uchaguzi ulichakachuliwa

    Uko sahihi ESAM. Sio wana JF wote wanakaa marekani, na ni haki ya kila mwana JF kusoma na kuelewa maudhui yaliyomo humu, kulingana na taratibu. Naamini ameelewa, tunasubiri aombe msamaha, ni muungwana huyu, ana utamaduni wa majuu.
  16. W

    DMV Kimenuka ni wazi uchaguzi ulichakachuliwa

    Da! Matola mbona unakuwa mbabe hivyo?! Watu wana haki ya kuuliza kujua hiyo DMV ni nini kama hawajui; waeleweshe kaka! Hata mie sikujua ni nini hicho mpaka niliposoma post nyingi.
  17. W

    Usafiri kwa njia ya Mabasi Tanzania pamoja nauli zake (kutoka UBT na Mikoani)

    Hivi kuna basi la kutoka Monduli hadi Dar? au kwa maneno mengine, mtu akitoka Monduli kwenda Dar lazima alale Arusha?
  18. W

    Jamani Recho anaimba

    Huyu binti, Rachel, yuko vizuri sana, mie namkubali na naamini hajatokea promota mzuri, au producer mzuri aliyefanikiwa kumuona. Sauti anayo nzuri sana, hajapata wa kumuweka vizuri akawa mwanamziki mkubwa. Kila nikimsikia akiimba huwa namkumbuka Mbilia Bel. Naamini akipata bahati ya producer...
  19. W

    Bunge Maalumu la Katiba laendelea kukusanya maoni!

    Maoni??!! Mbona sielewi!! Katika sheria iliyoliweka BMK pia ukusanyaji wa maoni umo?! Nahisi kizunguzungu!
  20. W

    Ushauri kwa Bongo Movies

    Nafurahi sana ninapoona filamu za kitanzania zikizidi kupata umaarufu ndani na nje ya nchi. Siku hizi filamu nyingi za kibongo zinawekwa 'subtitles' za Kiingereza ili kuongeza uelewa katika lugha hiyo pia. Lakini sasa, hicho Kiingereza jamani kinachowekwa sijui ni makusudi au bahati mbaya! Ni...
Back
Top Bottom