Search results

  1. F

    Maisha ya usingle mother je, how do I cope?

    Pole sana,utayashinda majaribu..mifano ipo mingi unaweza kulazimisha kuishi na huyo jamaa mwisho wa siku akakudhuru Mi nasema umechukua uamuzi wa Busara na ni mfano wa kuigwa!sasa milango ya mwanaume bora ipo karibu. just relax!
  2. F

    Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

    sio huo wewe,mbona unataka kuchanganya mambo?subilia jpili kwenye diary ya jide na utaona maana ya wk hii alianza na iliporekodiwa na bado kuipa jina!kweli wapambe wana nguvu!
  3. F

    Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

    kifupi best yangu achana na Warumi atakupotezea mudi na hajui anachokifanya...kumbe anawajua mpaka akina wancy wale wanaohusika na malipo kwa jide..akaahidi eti aarudi na majibu kimyaaaaaaaaaaaa!mpaka mambo yamekuwa mengine (nimejua ivyo baada ya yeye kunisahisha eti sio hancy ni wancy na ni...
  4. F

    Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

    nimejibu ivyo kwa kuwa unataka kuonyesha kwamba hakuna sehemu wanaolipa kwa kutojali nini ni nini...poa!
  5. F

    Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

    Sijui utauweka wapi uso wako video ikianza kutoka.....halafu usichahanganye mambo si vibaya hata ukipita kimya!
  6. F

    Hivi meno ya tembo ni malighafi ya nini?

    aaaaaah? kinana tena?..umeua mkuu!!!
  7. F

    Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

    soma post zote jibu utalipata.....naona umefungua mahususi page kwa jili ya hii issue karibu ila kesho ndo kesho...
  8. F

    Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

    siwezi kukulaumu sana pengine hujasoma toka mwanzo kifupi umedandika ndege kwa nyuma.
  9. F

    Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

    wewe sio bure kuna kitu kwani tatizo ni lipi uliloliona mpaka ujudge ivyo?
  10. F

    Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

    dhumuni kuu ilikuwa muonekano wa video na ile hadhi ya wahusika ikiwepo unadhifu suti na mashati meupe..moja BAHARI BEACH nyumbani kwa dada mmoja na pili times FM ....USIKU...MASAAA 8...BADA YA HAPO MALIPO,YAANI NIACHE SHUGHULI ZANGU ZA KILA SIKU nikazunguke tu sehemu zote?yeye iyo video...
  11. F

    Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

    Bado na kesho ungekuwa na ndugu wa karibu au kijana muda wa mapema ivi asogee pale nyumbani lounge akajionee sinema ya bure....si wote wenye kupuuzia mambo!...mana kama ni kufuatwa amefuatwa unadhani unamuona,,,ni yule kijana wake wancy na dereva saidi anayeonekana na kujibu na akina joshua...
  12. F

    Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

    MKUU sijakupatapata vizuri...si kazi ilishaisha ndo mapatano na yule kuzila pesa?..sasa kama walipanga waseme amezila ili watu waogope kumdai basi mambo hayatakuwa ivyo na lazima watu sasa wamejua which is which...malipo huwa kuna makisio ikiwa ni makabaliano..sasa ulitaka wewe iwe ts ngapi...
  13. F

    Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

    mume wa mtu??????
  14. F

    Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

    ni kweli kabisa...mana kama analipwa au lao moja iweje adhulumu..kwanza ni kujitia aibu....lakini soni hana yule.
  15. F

    Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

    ukweli huwa kuna mapatano sasa linapokuja suala la malipo mtu anasahau kwamba ipo siku atawaitaji kama si kwa walewale ni kwa wengine...ivi kwa maisha ya leo mtu unatengeneza video kali na nzuri itakayokuingizia kipato kizuri eti wale waliomuunga mkono uwaambie eti mtajulikana na mtaanza kuitwa...
  16. F

    Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

    ndiyoooooooooo!
  17. F

    Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

    ndiyo labda akatae....hii inajumlisha vitu vyote na kwa siku mbili.....ila kesho wenzangu wamepanga mengi ninyi kategeni tu pale langoni watu wataaibika..mi nimeona nisikilizie pembeni ila wengine hawataki story eti tuache tu na mambo kama hayo...kama wanajua kutumia watu kwa manufaa yao basi za...
  18. F

    Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

    We mwache siku si nyingi... yatamkuta.anakuwa kama wale wacongo bwana!!
  19. F

    Gadner Habash anapokula pesa za watu wa Jide

    Hakuna haja ya kunidharau na ukweli ni kwamba hakuna hata mmoja aliyekata mauno na si fani yangu zaidi ya kuonekana kama watu mlio kwenye paty na kila mtu na kinywaji..hapa naongelea time wasting.kwa siku mbili na usiku wa manane tena sehemu tofauti halafu makubaliano...ivi wewe hujawai...
Back
Top Bottom