Search results

  1. Dilunga

    Kauli hizi za Zitto zinatupa picha gani?

    Ndugu yangu Mtanzania, unadhani nimemtengenezea Zitto mambo ambayo hakuyasema? Mtanzania, Huwezi kumtetea Zitto eti "ni kijana" kwa hiyo anaweza kuongea mambo ya kijiweni eti ana nia nzuri, hell no! Kwanza ukishafika miaka 30 usijichukulie kijana, utabweteka, umeshakua! Na unapojivunia kuwa...
  2. Dilunga

    Kauli hizi za Zitto zinatupa picha gani?

    Sio hivyo Mkuu, tunajaribu tu kumwelewa kiongozi wetu, "Mbunge wa Taifa" Zitto Zubeir Kabwe. Kwamba, anatuhakikishia "mimi sio materialist" ila mkuu anasukuma mi Hummer, mi Prado, mi VX, mpaka mashine nyingine anasema anagawa kwa kina "Jacquiline"; lakini yeye "sio materialist"! Halafu, hold...
  3. Dilunga

    Kauli hizi za Zitto zinatupa picha gani?

    Anasema sisi ndio hatumwelewi!
  4. Dilunga

    Kikwete awapa Mafisadi Ahueni?

    Okay, Mkandara, Basi kama kula rushwa ni exactly the same as kuhujumu uchumi, na kila aliyekula rushwa amehujumu uchumi, basi huhitaji sheria mbili mbili vitabuni. Wazungu wanasemaje, a dog is a dog by any other name, sio? Kwa hiyo whatever you call that law, it bans the same thing! Ha haha haa...
  5. Dilunga

    Mzee Tryphon Maji Amefariki Dunia

    Mnafiki mkubwa! Hao wafiwa unaosema wafarijiwe ndio huyo huyo unaesema aliwavuruga sana dogo. Familia itafarijika na maneno hayo? Ukishaamua kula nguruwe bana kula aliyenona, usiume na kupuliza. Wafiwa poleni.
  6. Dilunga

    Kikwete awapa Mafisadi Ahueni?

    Adhabu kali za rushwa pia zimeondolewa? Wapi wamesema hivyo? Mkuu Kishoka, Naomba tusaidiane kufanya kauchambuzi kadogo ambako naamini gazeti ilibidi lifanye, lakini media yetu ni maiti, ((ndio maana hata unaona wamegundua leo kitu kimetoka Bungeni January (as if ndani ya Bunge hakuna...
  7. Dilunga

    Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

    Unajua Mkuu Mkandara, Zitto hatumpimi kwenye mizani ile ile tunayopimiwa kina Dilunga na wewe na sijui Sikonge, Mwafrika etc. Why, because who the hell is Dilunga? Who the heck is Chuma or SerayaMajimbo sijui MpakaKieleweke? Vivuli vya watu tu! Au some sleazy editors ambao have nothing to lose...
  8. Dilunga

    Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

    Sidhani kama Augustine Mrema alikuwa na udini, ukabila na ubaguzi, tumweke pembeni huyo nadhani. Zaidi ya hilo, nadhani Serayamajimbo umeongea ya maana sana sana, tena bila kutukana tukana wala jazba za mkizi kama CHADEMA insiders wengi wa humu. Incredible job there. Zamani (si sana, labda up...
  9. Dilunga

    Only in Tanzania LOL!....

    Umejaribu kunifuatilia? That's funny! "Acha kunifuatilia mi sitaki bwana mbona mi sikufati fati posti zako bwana aanh! ... uko too negative sitaki bwana...we mkubwa, unavaa kizee bwaana! Again Kelly, umechemsha kuleta mchongo wa kutoa hongo hapa. Tutakuwa wanafiki tukiwa tunapiga kelele za...
  10. Dilunga

    Only in Tanzania LOL!....

    Shapu, kwa hiyo unataka wote tuikubali system iliyooza kwa vile tu imezoeleka na "Sie tulieko huku tunajua."? Tatizo moja kubwa linalokinza maendeleo ni kwamba watu hawana exposure ya jinsi mambo yanavyotakiwa kuwa katika viwango vya nchi zilizoendelea. Ndio maana na wewe unaona hongo poa kwa...
  11. Dilunga

    Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

    Kweli Mkuu, CHADEMA wameharibu mambo kweli kweli safari hii, ila tuelekezane kidogo hapo Mkubwa: Obama hakusema tujifunze kuwekeza kwenye "siasa safi." Obama alisema tuwekeze kwenye kujenga "taasisi imara." Akimaanisha - na aliorodhesha na kuanisha anachomaanisha - mabunge huru, vyombo vya dola...
  12. Dilunga

    Only in Tanzania LOL!....

    Kama mimi ndie "mtoto wa mkubwa" na ndio nachukia hongo hii ni ajabu, maana ningeweza kupata hizo haki kwa mikato mikato, na vi memo, na hongo. Sasa wewe "mtoto wa hohe hahe" ndio unakuwa wa kwanza kuja kusema "I am laughing out loud... nimetoa hongo... na kama nimetoa we kinakuuma...
  13. Dilunga

    Only in Tanzania LOL!....

    Kelly, Umekuja kulalamikia tatizo la hongo ukaliweka kwenye baraza la jamii nzima, ndo maana linanihusu. Unapoweka kitu hapa ni cha wote! Huwezi kusema Dilunga unanifuata fuata achana na mada zangu! hahahaaaaaaaa, Sasa kama ulitoa hongo, na uli enjoy huduma, unakuja kutuambia sisi ili iweje...
  14. Dilunga

    Only in Tanzania LOL!....

    Kelly, usije kulia lia hapa kama umeshatoa hongo! Ni sawa na mtu anaenda kushitaki polisi karepiwa halafu kwenye statement anasema after a while alianza ku enjoy na ku cooperate na kujigeuza geuza! Sasa umekuja kushitaki nini? Aaah! Rudi huko vizazi na vifo kawapoze tena wakutengenezee jina...
  15. Dilunga

    Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

    Hiyo na mimi imeniacha hoi, sina mbavu. Zitto analalamika watu wamemwingiza mamaake kwenye hili zogo la viongozi, lakini unapofanya kampeni na mamaako (kama ilivyoripotiwa) unategemea nini, of course siasa mchezo mchafu. people are gonna drug your mother into the mess. Zitto anasema watu...
  16. Dilunga

    Elections 2010 Kuelekea Uchaguzi mkuu CHADEMA Sept. 2009

    Duh, mpaka Asha Abdala leo anasema Zitto "ataropoka"? Wahariri wenye mahusiano ya CHADEMA wanaita watu "vijana wajinga"... Adwin Mtei anashutumu wanachama na vijana kwa "kupenyeza hela chafu"... Zitto nae anamnyooshea vidole Mwenyekiti Mbowe kuwa ni "bepari" anaefukuza wanachama...
  17. Dilunga

    Hukumu ya kesi ya zombe et al

    Ina maana mtu amei transcribe haya maandishi ( kaandika alichosikia), au hii ndio official record ya hukumu kama ilivyotolewa na mahakama kimaandishi baada ya kusomwa hukumu?
  18. Dilunga

    Kikwete Atibiwa Muhimbili: Mfano mzuri, for a change!

    JokaKuu, Chuma, Hauxtable, Indume... Hakuna mtu anaekerwa na tabia ya hawa viongozi kutibiwa nje kuzidi mimi, na mpaka kesho nasikitishwa na kitendo cha Nyerere kwenda kutibiwa na kufia London baada ya kuhubiri ujamaa na kuongoza nchi miaka 24. Hivyo kwa kweli mnayoyasema nayachukulia kwa...
  19. Dilunga

    Kikwete Atibiwa Muhimbili: Mfano mzuri, for a change!

    Jokakuu, Kama kweli kutibiwa macho hakuhitaji referral, na umesema umemwelewa Dar-es-Salaam kwa hilo, basi Muhimbili haina tofauti na Mnazi Mmoja, na Temeke, na M'Nyamala maana sio referral inapokuja kwenye macho. Sio? Haya, hilo hutaki. Vipi kama daktari wake wa macho anafanya kazi...
  20. Dilunga

    Kikwete Atibiwa Muhimbili: Mfano mzuri, for a change!

    Rais angepanga foleni kumuona daktari ndugu? Rais anapanga foleni kwenye traffic barabarani? Tusiongee mradi tumeongea tu, hizo hoja sasa hazina mwelekeo. Nchi gani Rais anapanga foleni kupata huduma in the public square? Kumuita mtu Rais, moja ya maana zake na uzito wake ni kwamba tunampa...
Back
Top Bottom