Search results

  1. M

    Matokeo ya Igunga na Maana yake Kwa CHADEMA kuelekea chaguzi nyingine

    CDM inastahili pongezi na a big pat mgongongoni, wamefanikiwa kushusha asilimia za Magamba toka 72% OCT 2010 to 50% 2011. Tena wakiwa na silaha zote za maangamizi tangu rais mstaafu, katibu mkuu mstaafu, waziri pendwa Magufuli na bado wameshindwa kupandisha %. 2015 Ushindi ni lazima
  2. M

    Angelikuwa ni Mh. G Lema amepanda jukwaani na bastola!!

    Mahakama ya kadhi gani??? Acheni hizo.
  3. M

    Yuko wapi?

    yule Mtabiri nambari wani? Sijamsikia kipindi kirefu, alitoa tathmini ya uchaguzi baada ya oct 31?
  4. M

    Zitto, Arfi, Shibuda kujadiliwa Kamati Kuu...

    Mhh, inategemea wameumizwa kiasi gani, hawatabiriki hao, wanajua sana kuwashughulikia watu
  5. M

    Kweli Pinda mtoto wa mkulima

    Inauma sana waTZ tunavyochotwa akili, tunapenda kufanywa wajinga. Hii ya laptop kwa kila mwalimu mh, lakini bado utashangaa wengi tutawapa a big yes mwisho wasiku, okt 31. Hapo ndo ujue waTZ hatujui tunachotaka, hebu tubadilishe sura za mjengoni basi kama hatuwezi kubadili uongozi wa juu, japo...
  6. M

    Ni kweli kuwa watu wote walioko kwenye ndoa au waliooana wanapendana?

    Hongera, ni wachache sana wanaiweza hiyo
  7. M

    Kuweni makini na simu

    Mh! kuna wakati nilimsikia daktari mmoja akielezea kuhusu simu kulipuka zikipata unyevunyevu, hasa za kichina, sasa kwa suala hilo duh, sipati picha. Mungu tunusuru, mweh:mmph:
  8. M

    Baruani Abdallah Mhuza... RFA mpaka TBC... RFA

    Huyo ni Baruani Muhuza jamani na yule Janeth Mwenda Talawa hasikiki, yu wapi?
  9. M

    Mkapa: Kuna mtu kanizomea?

    Hiyo ni kawaida ya mtu anayejishuku.
  10. M

    TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

    Hiyo ni TZ zaidi ya uijuavyo. Tuone kesi ya JM itatufikisha wapi. Tutajua mengi....
  11. M

    Ukiombwa utatoa?

    Nitatoa, itamsaidia kujua makosa yake.
  12. M

    Pingu ya Muro

    Hii habari inanichanganya. Kuna mahali nimesikia TAKUKURU inatajwa,. lakini sijasikia chochote kutoka kwao, ina maana nao wanashirikiana kutisha watu? Maana huyo mtu anadai walikwenda watu nyumbani kwake saa 12 asubuhi wakijitambulisha kuwa ni afisa wa TAKUKURU na MWANAJESHI ambae pia ni...
  13. M

    Je, jina lako/ID unalotumia JamiiForums lina maana yoyote?

    Majina ya wanangu yanaanza na herufi H, ninawapenda sana wanangu, so 'mamah' ndipo iliponijia.
  14. M

    Nimejionea kwa macho yangu....nimfanye nini huyu mwanamke?

    Jamani tutaponea wapi? Maisha yanatufanya tutafute beki 3 kumbe balaa, ukisema umchukue ndugu ndo kabisaaa maana na lawama juu. Boarding taabu tupu. Yote hii ni kumomonyoka kwa maadili kwa hali ya juu. Tuombe na tutubu sana.
  15. M

    Kikwete aamuru mitambo ya IPTL iwashwe mara moja!

    ZITTO aliongea wakasema ni mambo ambayo hayapelekwi tu kijuujuu, WAFANYABIASHARA!!!! wameongea tu na JK amereact. SO IT MATTERS NI NANI KASEMA!!! Tutafika???
  16. M

    Kauli za mastaa wetu

    Ingekuwa Mza au Dar angesema "born in the wrong part of TZ" na ukiangalia the flow ya walichokuwa wanaimba hao vijana ni moja kwa moja Tanzania na Africa are the wrong parts of the world. Tukubali udhaifu.
  17. M

    Tambwe Hizza amshambulia Mwanakijiji

    Siasa kweli mchezo mchafu. Mnakumbuka alipokuwa CUF na madongo aliyokuwa anipiga CCM, leo yote yamekuwa lulu kwake, na kweli amebadilika hata taswira, AMENONA.
  18. M

    Clouds FM warusha kisa cha kushtua!!

    Jamani, Kuna kipindi cha njia panda CLOUDS FM hiyo hiyo. Dr. Seba alikuwa na binti wa miaka 10 ameharibiwa na babu mmoja wa huko Mwananyamala kama sikosei na juu ya hivyo kaambukizwa UKIMWI. Babu hakamatiki jalada lilikuwa Oysterbay lakini inavyoelekea Babu huyo mzito kiaina flani, maana kesi...
  19. M

    MwanaHalisi limedoda, limekwisha sasa

    Kuelekea 2010 kuna kila aina ya mizengwe kunyong'onyeza wapambanaji dhidi ya ufisadi na mafisadi. Kubenea songa mbele, kaza buti, simamia unachokiamini. IKO SIKU ukweli utadhihiri, haki itatawala, mafisadi watagwaya.
  20. M

    Matangazo ya DAWASCO hayana akili

    Sio tu hayana akili, bali pia hayana maadili. Mtoto anamkataza baba kumuita mwanae kisa maji. Tanzania hatujafika huko, wasitake kutuharibia watoto. Wajipange watoe huduma inavyostahili.
Back
Top Bottom