Search results

  1. Mau

    Hivi TCRA wanaitambua hii biashara ya Vodacom?

    Kuna kabiashara ka mkopo kameanzishwa na kampuni ya Vodacom, wanacharge riba pamoja na processing fee. Swali nililojiuliza ni mbona sipati message za mgawanyo wa hayo mapato kwa serikali kama vile wanavyotutumia ukinunua voucher? You have received an overdraft of TZS.10,107.00 You will be...
  2. Mau

    Baada ya benki ya CRDB kusitisha mikopo, benki ya Posta nayo yasitisha

    Leo nimepata taarifa kuwa wameanza kutoa
  3. Mau

    Baada ya benki ya CRDB kusitisha mikopo, benki ya Posta nayo yasitisha

    Ni kweli nimetoka bank ya Posta sasa hivi, wameniambia wamesitisha mikopo kwa wafanyakazi, ila wakasema hivi punde wataachilia sababu hawatoi
  4. Mau

    Usahili Hakimu MKazi II short list

    Kwani 3rd schedule ya MCA sio MCA?
  5. Mau

    Screen printing

    Habari za hapa bandugu, Nahitaji full set ya 6 colour screen printing machine kwa ajili ya business yangu mpya, pamoja na vifaa hivyo nitahitaji pia heat press machine for t-shirts and caps, ya mugs tayari ninayo nitafurahi kama nitapata msaada wenu. Simu yangu 0712000316
  6. Mau

    Msaada PayPal credit card activation

    mkuu na mimi nina tatizo kama lako nimeshafanya kila kitu na paypal walishanikata $1.9 lakini code ndo sipati sielewi nifanyeje
  7. Mau

    Dell vostro 270

    Wakuu wa janvi habari za kujishughulisha, ninaomba kwa anayefaham mahali nitaweza kununua DELL VOSTRO 270 Nitashukuru sana, nahitaji computer hiyo kwa ajili ya kazi zangu za ofisi coz nimeona ina specifications ninazohitaji mimi, nawasilisha
  8. Mau

    HP Laserjet Print Cartirage

    Kurifill hiyo ni 25000 Tu ila tena ungekuwa unajua kuifungua hiyo ingekugharimu pesa kidogo zaidi. No PM nikupe directives
  9. Mau

    Mimba na Ujauzito

    Ujauzito ni neno la kitafsida tu ila maana ni moja. Mfano: Mavi - Kinyesi Kuzaa - kujifungua nk
  10. Mau

    Photo Studio

    Habari za hapa wakuu, naombeni mnielekeze sehemu hapa mjini dar nitakapopata vifaa vya Photo studio kama Lights Softboxes Camera stand Reflectors Flashes Tripods Backdrops and Backdrop stand Nitashukuru kwa msaada mtakaonipa
  11. Mau

    Top ten wonderful names from Tanzania

    Huyu jamaa nampata, ni Pastor huko moshi
  12. Mau

    Top ten wonderful names from Tanzania

    Lairumbe Likindanyu - Lyamungo 1999 Sekemi Sakana - Lyamungo 2001
  13. Mau

    Ncomputing thin clients

    Kwa mwenye msaada napatikana hapa 0712000316
  14. Mau

    Ncomputing thin clients

    Habari za kazi wadau, naombeni mnifahamishe nitakapopata thin clients za ncomputing nazihitaji kwa ajili ya business yangu ndogo. Nimezichagua hizo coz naona zitakuwa less expensive and easy to manage coz sina taaluma ya computa sana Nawasilisha
  15. Mau

    Mkumbuke Meja Alexander Gwebe Nyirenda

    Kuna mtu alishawahi kuniambia kwamba historia ya huyu jamaa ilibidi iwekwe pembeni kwani baada ya kazi nzuri aliyofanya kumbe hakuwa mtanzania. Walikuja kugundua baadae kuwa ni mmalawi pamoja na kuwa alishaingia katika jeshi letu
  16. Mau

    Nywele nyingi Song

    Habari za hapa wanajanvi, Jana usiku nilipita mitaa flani nikasikia wimbo unapigwa redioni, nikausikiliza kwa makini hadi mwisho sikuweza kutambua jina la wimbo ila kidogo niliweza kushika baadhi ya maneno, naomba kama kuna anayeujua huu wimbo anijulishe ameimba nani na unaitwaje. Mashairi yako...
  17. Mau

    Mlevi na fridge

    me staki
  18. Mau

    Changudoa na Hakimu

    ha! Alilipwa kwa cheque then ikabounce anataka kugeuza kibao kuwa kabakwa!
  19. Mau

    Re: Acha

    Acha tabia ya kuwa na account zaidi ya moja JF
  20. Mau

    >>iNgLiShIoLoGy¿¿¿

    huu ni usengeology
Back
Top Bottom