Search results

  1. E

    Jamani kuna Division I point 3 iliyowahi kutoka ECA

    Wadau nimejaribu kufanya tamthmini kuhusu ufaulu wa mchepuo wa biashara yaani ECA, ila nimegundua kwa miaka ya hivi karibuni hakuna mtahiniwa yeyote aliyewahi kupata Division I ya point 3. Jamani nisaidieni kwa hili.
Back
Top Bottom