Search results

  1. M

    Dereva anaharibu mahusiano yangu

    Anatuzingua kumbe!, tupa kule !!
  2. M

    Dereva anaharibu mahusiano yangu

    Jamani pole pole commnt zenu ni mnyalu huyo jamaa akijiuwa mi cmo !! aha ha ha ha!
  3. M

    Mwanasheria wa Times Ziro, Yani Buyu kabisa!

    Labda ulikuwa hujaelewa vizuri mtoa uzi, sikia nilivyoelewa mm! Times fm waliingia mkataba na Davido wa kufanya show tar 1/11/2014 hivyo wao times walitegemea kwamba Tz asingeweza kufanya show yeyote kabla ya tar hiyo ya makubaliano cha kushangaza akatangazwa kuwa atakuwepo Fiesta...
  4. M

    Member gani wa JF ushakutana nae Face 2 Face

    Me cmjui hata mmoja ngoja nianze namn
  5. M

    Madhara ya kuoa mke mwenye umbo zuri na sura nzuri

    Usimsahihishe mtu ilhali wewe mwenyewe hujui! Let love leads kiswahili chake ni "acha mapenzi yaongoze" na lets love ladies ni "acha wanawake wapendwe" hivyo usilazimishe utakavyo!!
  6. M

    Madhara ya kuoa mke mwenye umbo zuri na sura nzuri

    Mawazo yako ni ya kizamani sana!! Mbona siku hiz wanawake kuwapata ni simple sana mkuu!!?
  7. M

    Mashamba yanauzwa Chanika

    Nitakupigia nahitaji shamba
  8. M

    Mashamba yanauzwa Chanika

    Ww ni mshamba!! Umekariri maisha na wajinga ndio wliwao! Mm nimenunua shamba ekar moja kwa sh 400000/- na ni halali
  9. M

    Wanaume wengi hupenda kuwa kwenye mahusiano na kuoa mwanamke wa aina hii...

    Mwanamke anaringa mpaka anajisahau anakuringia nawewe boyfriend wake!! Si kila mwanamke anaweza kuwa mke!! Tena wala sio makalio makubwa tena wewe mwenye makalio makubwa ni msumbufu ni balaa et kisa wanaume wengi wanakushobokea!!
  10. M

    Mtwa Mkwawa hakuwa muhehe

    Sawa kweli wajeruman waliupotosha ukweli wa historia ya Mtwa Mkwawa je wewe uliyesema ukweli tunaamini enzi za Mkwawa haukuwepo hizi habari umezipata wapi na je umewaamini vipi waliosema habari hizo na kwann wajerumali walipindisha ukweli!!? mtoa uzi
  11. M

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Samahani jamani hapa tunaelimishana kuna wengine tunajifunza humu! Sasa mkianza ku PM mtakuwa mnakosea sana kwani lengo si ubinafsi!
  12. M

    Natangaza nia ubunge (2015)jimbo la Kyela kwa tiketi ya CHADEMA.

    Kila jambo ukiwa na nia linawezekana! Usimkatishe mtu tamaa kwani hata hao waliofika juu walianza hivyo hivyo! Mungu akutangulie mkuu Unaweza kwa jina la Mwenyezi Mungu subhanah uwataalah!!
Back
Top Bottom