Search results

  1. J

    Kesi ya DECI imewagusa Wachache Huku Chimbuko la Wahusika Serikalini Wameachwa!!!

    Hivi kesi hii bado inaendelea .... Au imetiwa kapuni ....
  2. J

    John Mnyika amuita Rais kikwete Dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

    Ni KWELI .... USILOLIJUA NI USIKU WA GIZA .... MTAKUMBUKA SHUKA KUKIWA KUMEKUCHA ....
  3. J

    Mwenyekiti BAVICHA Taifa ndani ya Same

    Chadema inafanya kweli ... Lini mtageukia pande hizi za Nyanda za Juu Kusini .....
  4. J

    The miracles of 2011

    ...... Hi Mlacheke Soma vizuri ...... Amesema last 2 digits....
  5. J

    Msaada tutani

    Ndiyo Ninao Mkataba.
  6. J

    Msaada tutani

    Wapendwa wana JF, Nina shida nahitaji kupata msaada wa Jinsi ya Kulitatua. Kuna Mtu Nilimkopesha pesa mwaka 2004 December na akaahidi kunilipa January 2005. Lakini Mpaka leo hajamaliza kunilipa hiyo pesa. Na mbaya zaidi mwaka jana 2008 October akaniandikia Cheque ili niweze kupata hiyo pesa...
  7. J

    DECI Tanzania: Ilivyoanza, ilipo na hatma yake

    Kang.... Hii deci haifanyi kama unavyoonyesha kwenye hiyo pyramid..... Navyojua speed ya malipo pyramid inategemea watu wanavyojiunga katika hiyo deal. Na ukipata inakuwa imepita.... Kama ili upande ni watu 4 wakuchangie basi... Ukimaliza circle unatoka.... Kama unataka inabidi kuanza upya...
  8. J

    DECI Tanzania: Ilivyoanza, ilipo na hatma yake

    Ndiyo Maana nimesema Hii sio PONZI SCHEME..... A Ponzi scheme is a fraudulent investment operation that pays returns tnvestors from their own money or money paid by subsequent investors rather than from any actual profit earned. Kwa sababu ili mtu alipwe pesa aliyotakiwa kuvuna aitegeme na...
  9. J

    DECI Tanzania: Ilivyoanza, ilipo na hatma yake

    Ndiyo Maana nimesema Hii sio PONZI SCHEME..... A Ponzi scheme is a fraudulent investment operation that pays returns tnvestors from their own money or money paid by subsequent investors rather than from any actual profit earned. The Ponzi scheme usually offers returns that other investments...
  10. J

    DECI Tanzania: Ilivyoanza, ilipo na hatma yake

    Nimesoma msg kuhusu hii DECI, Hii DECI haitumii PONZI kama watu wanavyowaza... kwa sababu toka imeanza hakuna mtu aliyekosa pesa yake... na ahilazimishi kutafuta mtu wa kudeposit ili mtu aweze kulipwa. KWA UKWELI WATU WENGI WANATAKA KUJUA SIRI YA WANACHOKIFANYA KUPATA HIZO PESA... NA...
Back
Top Bottom