Search results

  1. nahavache

    Rais wa Zambia mwezi 8 ofisini bila mshahara, Wazambia kwanza

    Huyu jamaani ni tajiri no 1 Zambia, hakuingia madarakani kutafuta kazi ili alipwe bali kutumikia WaZambia. Kwa hiyo, hako kamshahara ka uraisi sio dili kwake kwa sababu tayari hela anazo
  2. nahavache

    CRDB, yasimamisha mikopo kwa wafanyakazi, hadi uhakiki uishe..? Serikali mnajua hili..? Hali ngumu

    Kwanza CRDB haikopeshi kwa sababu ya uhakiki, hicho ni kisingizio tu. Hawakopeshi kwa sababu hawana pesa. Deposit zimeshuka sana katika mabenki yote na si CRDB tu ila CRDB imeumia zaidi kwa sababu zile hela zilizohamishiwa BOT nyingi zilikuwa huko CRDB. Pili, hiyo dhamana ya pensheni haipo...
  3. nahavache

    Kwanini nitamchagua Magufuli 2015 urais...!

    Mwaka huu hakuna namna ni LOWASA tu
  4. nahavache

    Afrika yampigia salute Prof Muhongo Waziri wa nishati na madini

    Kwani kutengeneza mtaala wa masters na phd kwenye mambo ya madini inachukua muda gani. Kwanza sio kweli kuwa hapa Africa hatuna hizo taaluma kwenye kiwango cha masters kwa sababu masters na phd ni research oriented degree
  5. nahavache

    Masoud Kipanya hii haiko sawa

    hivyo vidole vya katikati ndio kabisa vimeharibu kabisa
  6. nahavache

    Kingunge akerwa, akemea yanayoendelea ndani ya CCM

    Tutegemee ya KANU ya mwaka 2002
  7. nahavache

    Kamwe siwezi nikasaliti CHADEMA maana najitambua

    Hata hivyo ni ujinga uliokithiri kumfuata mtu kwenye chama, unafuata sera sio mtu. Je akifa, utamfuata huko kuzimu?
  8. nahavache

    Kamwe siwezi nikasaliti CHADEMA maana najitambua

    Ole wake amtegemeaye mwanadamu
  9. nahavache

    Orodha ya viongozi na wanachama wa CHADEMA Waliomfuata Zitto ACT Tanzania

    Ubunge labda akagombee Kigoma, Kilimanjaro asiwaze hata siku moja
  10. nahavache

    Sasa najiunga na ACT Tanzania

    Ngoja vyama vifike milioni moja, ili kila familia iwe na chama chake
  11. nahavache

    Orodha ya viongozi na wanachama wa CHADEMA Waliomfuata Zitto ACT Tanzania

    Albert Msando hawezi kubaki kuwa diwani tena, atabaki kuwa mtetezi wa Zitto kwenye kesi
  12. nahavache

    Vijana wa CHADEMA wana uwezo mdogo sana

    Ben, nadhani huna haja ya kusumbuka na huyu kwa sababu unajua unachofanya. Kilichoandikwa hapa ni udhihirisho tosha wa vijana walioko CCM. Kwamba mtaji wa kisiasa ni kugombanisha watu na rushwa. Maandishi kama haya yanataka kutuambia kuwa hata loan board inaangalia itikadi za chama. Kwa...
  13. nahavache

    Nitagombea ubunge Jimbo la Segerea – Dar es Salaam

    Nenda Julius nenda
  14. nahavache

    Nitagombea ubunge Jimbo la Segerea – Dar es Salaam

    Wana Segerea watapata mtu makini sana
  15. nahavache

    Zitto Kabwe: Adui, Rafiki, Kipenzi

    Matatizo hayaondolewi na mtu mmoja, yanaondolewa na mshikamano wa watu wote. Zitto alikuwa tatizo CHADEMA na huko kote atakapoenda atakuwa tatizo. Siri za CHADEMA sasa hazitoki baada ya Zitto kuondolewa kwenye uongozi, hata huelewi kuwa kumbe alikuwa tatizo? Kashfa unazozitaja alizoibua hata...
  16. nahavache

    Dodoma: Wabunge wajichimbia kujisomea, waapa patachimbika

    Hakuna mtu wa kuadhibiwa hapa. Usitegemee jambo la maana kwa serekali ya CCM
  17. nahavache

    ACT-Tanzania mtetezi wa wananchi, shime mtuunge mkono

    Eti ujamaa!!!! A joke.... Hata hamuoni aibu
  18. nahavache

    Naomba kuwasaidia BAVICHA, ni kwa dhati ya moyo wangu

    Lini ushauri mzuri ukatoka kwa adui tena aliyejeruhiwa kwa sababu ya usaliti? Mwaka huu kazi ipo, uchaguzi ni wa CHADEMA, kampeni anafanya CCM! Wapi inatoka hiyo
Back
Top Bottom