Search results

  1. U

    Bajeti 2019/2020

    grisi ishapatikana tunatafuta spana
  2. U

    BH99

    figa niga,invisible.maxence mello, mushi ,mzee mwanakijiji
  3. U

    BH99

    Nawatafuta lizzy,,naima omari,cheusi mangara, faiza foxy, klorokwini, .
  4. U

    Toto tundu nuksi kweli

    Hilo nalo neno
  5. U

    VIDEO: Jinsi ya kuitumia JamiiForums (Wageni na Wanachama)

    Wakuu wenzangu wa zamani sijaonekana muda mrefu, wapangaji ndio wanaopanga bei na namna ya kukulipa au wanahama, upanga nyumba ya 3 bedroom ni laki 7 kutoka dola 1100. fremu kariakoo ni 500000 kutoka dola 1200. Wageni karibuni musiwe waoga tena ningependa members wote angalau wawe ni diploma...
  6. U

    Kamanda Sirro atangaza oparesheni maalum kwa wenye vyeti vya kugushi

    Kila idara ihakiki vyeti na kutoa takwimu kama za waajiriwa hewa tuseme ndani ya miezi sita na hatua zilizochukuliwa ili tuanze mwaka 2017 kwa kuajiri wanaostahili. Hili tatizo ni kubwa nakumbuka mpaka mawaziri fulani miaka iliyopita walihusishwa na vyeti feki.
  7. U

    Updates zoezi la kuzima simu bandia

    Hi girl longtime no hear.
  8. U

    Salaam kwa wote chitchat kutoka kwa Uporoto01.

    Mi uporoto01 nikiwa Nairobi nawasalimu wana chitchat popote mlipo wageni na wakongwe.Nilikuwa bongo kwa muda wa miezi miwili na sasa nimerudi kituo changu.
  9. U

    Hawa wana MMU wamapotelea wapi? Ninavyowamiss!

    Husninyo niko somalia mwezi sana nasubiri kazi UN ntakuja nairobi mwezi ujayo,bongo ntakuja kupiga kura mwakani,wasalimie wote.
  10. U

    Naweza pata kazi Tanzania?

    Hili ni swali nalokutana nalo kila siku napoongea na Wakenya katika mihangaiko yangu hapa Nairobi.Hivi huko Bongo mkikutana na Wakenya huwa mnawauliza nini? Nipo hapa Natural Heritage iliyopo Kenyatta Market naangalia Man U wakicheza na Wigan wakigombea ngao kabla ya ligi kuanza rasmi wiki ijayo.
  11. U

    Kaby is here

    Sweety tusipotee tena wanadai walitumiss,wapi Klorokwini na Lizzy wajameni.
  12. U

    Eid Mubarak wapenzi wa Chit-Chat.

    Nawatakia Eid njema members wote wa chit-chat popote walipo,wengine wanasherekea leo na wengine kesho la muhimu nawatakia afya njema na furaha maishani mwenu.
  13. U

    With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

    Siamini kama umerudi JF mi nipo Nairobi nakusanya hela za kugombea urais 2015 mgombea binafsi,za siku mob? mzima?
  14. U

    With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

    Unakula nini hapa nafakamia kababu kubwa za Nairobi.
  15. U

    With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

    Sweetlady na Hus tumeshaonana lakini nawatafuta Kaba na Kloro ukiwaona waambie nimerudi.
  16. U

    Kila mwanamke ana dream ya kuwa na bwana wa Kisukuma

    Nilijua uta-comment usijali hawa dada zetu wa Kichagga huwa wanaonewa sana hapa.
  17. U

    With Heartfelt Sentiments on your Birthday!

    Happy birthday Erick.
  18. U

    Kila mwanamke ana dream ya kuwa na bwana wa Kisukuma

    Kila mtu ana uhuru wa kumpenda anayetaka sasa mimi mbona napenda mademu wa kichagga pamoja na kuwakandia humu ndani kila kukicha.
  19. U

    Kiboko ya wapigaCHAIN...

    Wezi wa dar siku hizi wanaiba kwenye butt sio ndani ya gari juzi juzi walikomba kila kitu na wakanifungia butt vizuri atadhani hajaigusa.
  20. U

    Happy Birthday CHARMINGLADY..! Najua yatasemwa mengi lakini mie hutamani na kuacha...LOL

    Afadhali unaitwa Mbethideiwa nami naitwa ibrahim zamani kabla ya kutumia Uporoto hapa JF nilikuwa najulikana kama Khoryere na Lagatege yote majina ya kabila langu la Kisomali na pia nipo kwa jina langu halisi la Ibrahim hebu tafuta utanifahamu. cc Invisible: hebu unganisha posts zote za majina...
Back
Top Bottom