Nashukuru sana wadau.Nimepata pa kuanzia kwanza mm ni mwanaharakati machachali tangu utoton kwan dhuluma kwangu ni sawa na ugonjwa hatari kwa jinsi nisivyo penda. Nimepata kuwa miongon mwa watu tegemez UDOM kupambana na dhuluma kwene bumu namshukuru Mungu nilifanikiwa mm cipo kama baadhi walivo...
Ahsante Mkuu. Mbunge wa jimbo lile kwa sasa anaitwa ndgu Josephat Kandege. Jamaa pia kaenda shule lakin ameshindwa kuwaletea wananchi maendeleo na ni mtu mbinafsi sana. Maoni yenu wadau maana ni mda wa vijana sasa.
Wadau mi ni mkazi wa jimbo la kalambo na ni kijana umri wangu miaka 30. Nimemaliza shahada ya kwanza UDOM nilipata nafasi ya kuwa Wazir serikali ya wanafunzi. Sasa nawiwa kuingia kwenye siasa nikiomba kugombea ubunge jimbo la kalambo. Haja yangu kubwa ni kutaka kuwatetea wanyonge waliotelekezwa...
Wadau namshukuru Mungu Kuwa ni wazima. Kuna jambo moja ambalo ni changamoto kwa vyuo vikuu vya serikali.Hivi ni kwa nini huwa wanachelewa kutoa vyeti? Mfano Chuo cha Theofilo Kisanji (TEKU) wameshatoa tayari vyeti na Eckenford Tanga na sehemu nyingine but government institution bado tatizo ni...
Nadhani anatakiwa kufanya hivo kwa mifano hasa kutoa some allowances kwa walimu hao ili kuwavutia zaid. Mambo ya kwenda huko hadi diwan wa kata std seven anamshushua shushua mwalimu tena graduate ni kudhalilisha taaluma za watu.
Pole sana Chukua za mbayuwayu changanya na za kwako. Kazi ya mtu aliyegraduate ni kutengeneza ajira ww unataka ushauri kulinda ajira badala ya kubuni uzalishe ajira pole sana mediocre teacher.
Du kweli hiyo ya kudondoka nyoka balaa. But hiyo sera cjaisoma maana kwa maelezo yake ni kwamba iko hatua za mwisho kukamilika. Ila jambo moja la msingi ni kama ulivosema kwamba changamoto kubwa ni kuhusu utekelezaji maana nyingi zinawekwa kabatini tu.
Nimemsikiliza Mh. Mkuu wa Kaya marudio ya hotuba yake ya mwisho wa mwaka akisema kwamba serikali imeandaa Sera mpya itakayowezesha elimu ya sasa kuendana na hali ya dunia ya leo. Je utekelezwaji wake kweli unaweza leta tija kwa watanzania?
Maana bado cielewi BIG RESULT NOW katka elimu kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.