Search results

  1. kimbendengu

    Ni mji gani ambao pengine ndoto yake ni kufika.?

    Natamani kufika tanga
  2. kimbendengu

    Mkurugenzi aliyetenguliwa Mafia Zanzibar kuchunguzwa kwa Ubakaji

    Sijaelewa bado KESI ya WAZIRI GEKUL IKO WAPI?
  3. kimbendengu

    Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    Ndugu mpina ,Samia anasema kijitabu kijitabu,Kwanza ilitakiwa mabeyo akamatwe Kwa kuvunja katiba ,Nani alimwambia awe msemaje wa familia? Yaani katiba inauzwa shs 10000 pale kariakoo alishindwa kwenda kusoma utaratibu wa Rais akifa Nani anafuata?Mabeyo akaisaidie polisi!Joni amekufa 2021 Kwa...
  4. kimbendengu

    Kelele za Wabunge juu ya Kikokotoo sababu ya Uchaguzi?

    Hawa wabunge ni MATAPELI uliona sakata la kuuza bandari,kuuza loliondo,kuuza gesi mtwara,nk
  5. kimbendengu

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa ana mamlaka ya kumuamuru RPC?

    Nchi yako imeanguka,nchi yako ipo corrupted,nchi imekufa inajiendaea tu ndio maana hujui yupi mkubwa,yupo mdogo
  6. kimbendengu

    Mpina ataka viongozi wa wizara, mashirika, mikoa na wilaya kupatikana kwa usahili!

    Yale Yale SERIKALI ZA MAJIMBO NI MUHIMU mfano tukio la mkurugenzi kibaka huko mafia ,serikali za majimbo hatuwezi kuruhusiu wahuniiiiii waongoze wilaya.
  7. kimbendengu

    PONGEZI: Utenguzi wa Mkurugenzi Mafia Ili kupisha Uchunguzi, Pongezi ziende kwa Dkt. Dorothy Gwajima. Kiukweli kwenye hili amejituma sana

    Watawala wa ccm hawana kesi,hivi kesi ya kusafirisha binadamu haramu imeishia wapi?
  8. kimbendengu

    Mwenye picha ya Rahabu Fred, aliyewahi fanya kazi Sahara Media anisaidie

    Mume wake alifariki 2021 ,ndugu FREDY FELIX ( FREDWAAAAAA) je huu ni uuuungwanaaaa?
  9. kimbendengu

    CAF yamtema refa aliyekataa goli la Aziz Ki

    CAF ni sawa na CCM sheria zake hazipingwi popote
  10. kimbendengu

    Vyama vya Wafanyakazi Tanzania ni Kansa kwa Wafanyakazi

    Yaani vyama hivi vipo kama vile vya hashimu Rungwe ,hamadi rashidi,lipumba vyenyewe kazi yake ni kusema ndio Kwa kila jambo
  11. kimbendengu

    TANZIA Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (KDF) Jenerali Francis Ogolla afariki katika ajali ya Helikopta ya Jeshi

    Itabidi nifuatilie wiki moja au mwezi nini kulikuwa kinaendelea Kwa serikali
  12. kimbendengu

    KERO Barabara ya Kwa Barikiwe - Kinzudi ni kero, najiuliza wasimamizi walisinzia wakati kinamwagwa kifusi

    Sisi wapiga Kura ndio wajinga tuandamane kuwaondoa hawa wahuniiiiii,anzeni pale mtaani kwenu
  13. kimbendengu

    Serikali kuweka shule za English Medium siyo ubaguzi kwa wanafunzi wa Kitanzania?

    Shule za kuongezea chawaaaaaa ,hawa waliopo wanakaa chini yaani utajenga hadi lini ,wenzetu wanamiaka 300 shule zilezile na Elimu Yao inawakomboa
Back
Top Bottom