Search results

  1. W

    Black woman or white woman (Question & Answer)

    Hmmm, binti wa kizungu amechukia!! well kama nimemsoma vizuri yeye anauliza iweje dada zetu wa kibantu wamtazame kwa macho ya kutaka kumaliza wanapomuona yeye yuko na blackman, ni kweli hii hutokea, hawa dada zetu wanaona kwanini huyo kaka awe na huyu binti wakati sisi dada zake tupo, haya macho...
  2. W

    Kuileta Madrid Bongo ni kituko

    mjadala wa BURE, jamaa kaleta hoja, watu wanabadilishana mawazo pamoja na kutanuliana misuli ya timu zao za majuu, wakati dili bado halijagongwa muhuli, NOMA sana, huu ni uswahili uliyopitiliza, lakini tena, ndivyo walivyo waandishi wetu, pamoja na hayo tunashukuru utandawazi kwa kutuwezesha...
  3. W

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Jile 79 wach hizo BARCA ni za best team kwa sasa hivi kama ilivyokuwa Man mwaka jana, Macheda asingeweza kufanya lolote bado hana uzoefu wa kutosha ndiyo maana hakupata nafasi ya kucheza, BARCA ni the best kuliko Liver aliyemfunga Man, kwa sababu nyingi, nikupe mbili, wameshinda mataji matatu...
  4. W

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    kwa kweli i hope hii finali itakuwa safi, maana timu zote mbili zinacheza mpira mzuri, na mara nyingi utakuta mshabiki wa Man ni mshabiki wa Barca pia, ila kwenye hii game wale wa liver na washika bunduki watajibanza sehemu, kujuwa nani ataibuka kidedea inakuwa ngumu, Man wazuri nyuma mpaka...
  5. W

    Hatimaye Paolo Maldini kustaafu soka

    wa henga husema rekodi huwekwa kwa ajili ya kuvunjwa, lakini hii ya paolo, sidhani kama itavunjwahivi karibuni, mi naona itadumu muda mrefu sana, kutokana na soka kubadilika sana miaka ya hivi karibuni, Viva paolo!! sitosahau ile milan ya the trio dutch na ya weah.
  6. W

    Massage Saloon (Massage Parlour)

    Wana JF, hivi ni saloon ama salon? mara nyingi huwa nataka kuuliza, huu ndiyo muda muafaka.
  7. W

    Channel Ten (Tz): Ushauri wa BURE

    kweli kabisa, kama vile ulikuwa kwenye mawazo yangu, maana nilifikiria kumtafuta msiba awaambie wenzake hilo tangazo halifai kwa jamii, ni la kitoto sana, ukitazama kwa undani inawashushia heshima channel ten, na kuashiria kwamba hawana msimamizi thabiti, kila mtu anaweza akafanya atakavyo, kwa...
  8. W

    Vipi Unatongoza

    hmmm, wana JF naona mnamzinguwa MWIBA, ama wote mmeshiba mapilau, lakini tena MWIBA anaweza kuwa anafaida kichwani na anataka kuzinguwa watu, kama ndivyo ngoma draw.
Back
Top Bottom