Search results

  1. S

    Chaguo la ccm- speaker mtarajiwa

    Bi. Anna Makinda. Bi. Anna Makinda (Pichani) amechaguliwa na Wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi kwa kura 211 kwa ajili ya kuwania Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Waliobwagwa katika kinyang'anyiro hicho cha akina mama watatu walioteuliwa na Kamati Kuu ya CCM hapo jana kuwania...
  2. S

    Askofu anamiliki HAMMER ya 250million!

    Tatizo la wengi wasiojuwa jinsi ya kumiliki mema ni KUJAA WIVU MWINGI usiokuwa na faida kwao, hujui huyu mtu aliumia kiwango gani mpaka kuja kumiliki Hammer mnachojuwa ni kubwabwaja bila mipaka, kuwa nalo yeye inakupunguzia nini wewe au unagain nini, nini hasa kikufanye mpaka umchunguze mtumishi...
  3. S

    Askofu anamiliki HAMMER ya 250million!

    ikiitumia akili visivyo(kijinga) itakuletea madhara na ukiitumia vyema itakupatia faida, kunena pasipo mipaka kutakufanyia nyakati mbaya kwako, angalia useme nini na lipi ukae kimya. Take care
  4. S

    Kulikoni jolly club!!!

    Ni ujinga na upuuzi kushauriana kitu kisichokuwa na faida zaidi ya hasara, kuleta mambo ya ulevi yajadiliwe na wenye akili wapi na wapi???
  5. S

    Mwanaume anaweza kukaa miezi sita bila ku "do"?

    inawezekana kwa mwanaume kukaa muda mrefu zaidi, mimi niliwahi kukaa zaidi ya miaka 3.5 hivyo sio ajabu inategemea akili yako umeizoeza vipi kuwaza hayo ya kumega,ukiwa mtu wa kuamsha hisia kila wakati huwezi kumudu na pia hasa kama humuogopi Mungu hutaweza hata mwezi ni tatizo
  6. S

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    Rafiki yangu mtumishi mtikila!!!!!!!!! INGEKUWA NI HEKIMA NA USTAARABU KAMA UNGEAMUA KUCHAGUA KATI YA SIASA NA UCHUNGAJI,LAKINI KWA KUTAKA KUTUMIKIA VYOTE NI LAZIMA UTAJIKUTA UMETUMIKIA UPANDE MMOJA NA MAFANIKIO HABA:
  7. S

    Magufuli aunguruma BRELA!

    Bila shaka huyu shujaa hana uchu na madaraka ndiyo maaana hana haraka na hayo unayoyawaza ila anapokuwa kapewa jukumu hulitekeleza kwa ufanisi wa kutosha,na labda anaangalia wakati muafaka pia wa kuomba kugombea Urais,ILA NI MCHAPA KAZI SAHIHI,MIMI BINAFSI NAFURAHISHWA NA KUJITUMA KWAKE
  8. S

    Jokes: Waumini hawa vituko kweli!

    whats cock!!!!!!!!!!
  9. S

    Tanil Somaiya kukutana na waandishi

    Mimi nakubali kabisa hilo ni wazo la maana,ni lini na wapi hawa wahindi wkawaza mema kwa watanzania???????????tuulizane jamani mbona mnakuwa kama watu mnaoishi nao mbali!!!!AJABU KABISA,hawa hata kama ungekuwa mfanyakazi wao bado hakuna chochote utakachoneemeka toka kwao sembuse wengine wasio na...
  10. S

    Vituko vya Raila..Jaza mwenyewe!!!

    Big up Hr Raila, that is right decision for human been who living under the sun, Songa mbele kwa uamnifu Bwana atakutetea kwa kuwa umekuwa miongoni mwa familia ya Mungu mwenyewe,na mamlaka ya nchi mungu anapenda kuwa chini ya mtu mwenye kumjuwa.
  11. S

    Kakobe mtumishi wa mungu au tapeli;waumini kuandikisha malizao ,mishahara,

    <.....KWA MUJIBU WA BIBLIA SUALA LA MATOLEO NI KATI YA MUUMINI NA MWENEYEZI MUNGU. ANAYEMUABUDU,NA SI SWALA LA ASKOFU WA AINA YA KAKOBE..LAKINI NDANI YA KANISA LAKE LA FULLGOSPEL MAMBO NI TOFAUTI.KAKOBE ANAFANYA BIASHARA CHAFU NA HARAMU NA ANAITAJIKA KUCHUNGUZWA ZAIDI YA DECI......NA HII NI...
  12. S

    Wachaga na vimobitel

    " Aisee mathawe unakwenda msalani na kopo la maji... ina maana utakawia sana mpaka usikie kiuu...!?" Hi hi hi hi hi hi hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii umenichekesana sana mpaka mbafu sinataka kufunjika
  13. S

    WaZanzibari kutokusheherekea Siku ya Muungano.

    Ila mimi kubwa linaniuma ni kwa nini kuna tofauti kubwa sana kati ya mishahara ya wafanyakazi wa SMT na SMZ? Hebu nisaidie kidogo rafiki kuna tofauti ipo katika mishahara ya Wazanzibari na Wa Tanganyika?
  14. S

    Mtoto wa Waziri wa Elimu asome Buguruni S/Msingi

    Inaumiza sana kwakweli,hii habari inagusa karibu kila mtu,hivi hii nchi inakuwaje lakini!!!!!! kwa sababu nyakati za mwalimu watu walikuwa hawachangii matibabu Hosp wala karo sec school kama leo lakini tulisoma na tukamailza vizuri pia warrant za kusafiri likizo tulikuwatunapewa, lakini leo...
  15. S

    Makamba ashindwa kumjibu mama Kilango

    unajua niliongea kwa hasira sana pale hata data muhimu zikawa zinaniponyoka Msanii kwanini uwe na hasira rafiki yangu!!!!!!!!! una ndugu yeyote kati ya watuhumiwa wa ufisadi??? kama sio hivyo huyu mamam mbona anaongelea vitu vya msingi na vya kulenga maslahi ya taifa letu kwanini tuone kama...
  16. S

    Makamba ashindwa kumjibu mama Kilango

    unajua niliongea kwa hasira sana pale hata data muhimu zikawa zinaniponyoka Msanii kwanini uwe na hasira rafiki yangu!!!!!!!!! una ndugu yeyote kati ya watuhumiwa wa ufisadi??? kama sio hivyo huyu mamam mbona anaongelea vitu vya msingi na vya kulenga maslahi ya taifa letu kwanini tuone kama...
  17. S

    Msaada unahitajika please!

    kama hakuna data zozote za muhimu kwenye computer yako,tumia hiyo hiyo cd ya Windows Xp kuformat kabisa then install hiyo operating system (Windows Xp) kisha Lap top yako itakuwa safi kabisa.
Back
Top Bottom