Search results

  1. Madiba

    Napataje nyumba za kupanga NHC Posta au Kariakoo?

    Ni ngumu kupata, kwanza kuna orodha ndefu ya miaka mingi ya maombi ya kupewa upangaji, sasa watakupaje wewe ambaye unaleta maombi sasa hivi? Hizo nyumba watu wanarithishana, na wengine wana uza nafasi hizo kwa bei mbaya wakitaka kuhama.
  2. Madiba

    Nimegundua ZANTEL ndio baba lao Tanzania. Kasi ya internet, bando la uhakika MB na dakika

    Ni kweli kabisa mimi huu ni mwaka wa sita natumia internet kupitia Zantel, hainizungui kama ilivyo Tigo.
  3. Madiba

    Tumieni VPN kama internet iko slow sana

    Ikishindikana Google Play nenda kaidownload direct kutoka kwenye website yao
  4. Madiba

    Hivi ni kweli hawa wanaojiuza mtandaoni ni wanachuo kweli au wanajikweza?

    Kweli kabisa. Wapo wengi wa aina hii, hata Facebook wamejaa sana. Wanaweka picha zao kali za kihasarahasara na kuomba urafiki kisha wanakwenda inbox kudanga
  5. Madiba

    Nahitaji remote control ya Startimes TV

    Nahitaji Remote Control ya Startimes TV, iwe mpya au iliyotumika. Aliyenayo anicontact
  6. Madiba

    Vitenge grade 1 vinauzwa kwa bei nafuu

    Unapatikana wapi Dar es Salaam
  7. Madiba

    Nani anamjua huyu msichana?

    Oghene Karo popularly known as Kirachaana is a 23 years old Nigerian influencer born in April 3rd 1996 born in South Africa. The 23 years old beautiful Edo state lady is a owner of Kirachaana limited, a make up and cosmetics company and Kira autos. She is worth $100,000 - $1,000,000 according...
  8. Madiba

    Can you date a guy without asking him for Money?

    Utakapojitegemea ndiyo utaelewa maana ya 'kudanga', hujakua bado
  9. Madiba

    Hatimaye Isidingo imefika tamati baada ya miaka 21

    Hlomla Dandala
  10. Madiba

    Mlimani City watu wanadanga balaa yaani ni hataree

    Phoenix baelezee! [emoji12][emoji1][emoji16][emoji38] Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Madiba

    Orchestra Maquis Original "ogelea piga mbizi" ilivyowatesa Watanzania

    Kasongo Mpinda Clayton!!![emoji16] Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Madiba

    Orchestra Maquis Original "ogelea piga mbizi" ilivyowatesa Watanzania

    Silent Inn na New Igongwe bar Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Madiba

    Wachina wengi sana Airport, nini sababu?

    Wanaingia au wanatoka nchini? Be specific
Back
Top Bottom