Search results

  1. M

    Kuamini sana miujiza na kupenda kuombewa ndo sababu kuu ya wakristo kuburuzwa na matapeli Africa

    Hiyo yote inasababishwa na Kutokujua neno la Mungu linasemaje na ahadi zake.
  2. M

    Yaliyojiri jijini Arusha katika kuaga Miili ya Wanafunzi wa Lucky Vincent waliopata ajali ya gari

    Rafiki yangu PJ Mungu awe faraja kwa familia yako kwa kuondokewa na kijana wako,Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake libarikiwe.
  3. M

    Mtoto kuanza kucheza tumboni

    Mama atahisi movements ambazo awali alikua hazisikii,na muda unavyosogea ataendelea kusikia more punches,ingia google utafuta utapata info nyingi sana
  4. M

    Mtoto kuanza kucheza tumboni

    Kuanzia wiki ya kumi na nane ndo mtoto huanza kucheza.
  5. M

    Tulianzisha kanisa feki pamoja, anafosi nimuoe, vinginevyo anamwaga mboga

    Haya yalitabiriwa kwamba siku za mwisho zitakua za hatari sana,ndo haya sasa,mtajitaja tu,unajua Mungu hadhihakiwi?na wakati wenu wa kuwekwa wazi umefika.
  6. M

    Sikubaliani na hoja ya Lowassa Kujiengua CCM na Kujiunga CHADEMA/UKAWA

    Hivi katiba ya chadema inasemaje kuhusu kujiunga uanachama? Mfano nikijiunga leo naruhusiwa kugombea nafasi yoyote kwenye chama?vigezo vya mwanachama mpya vinasemaje?
  7. M

    Seliani hospital (ALMC), huduma hafifu

    Sina hamu na hiyo hospital,huduma mbovu za kukera,manesi wako very slow,dharau zimewajaa,haina la maana.
  8. M

    Hakuniambia kama alitolewa kizazi, nimegundua siri baada ya miaka 6 kwenye ndoa

    Mbona unaweka mambo ya ndoa yako wazi? kila mtu akija kueleza mambo ya mwenzi wake patatosha hapa? Hakupenda iwe hivyo,je ingekuwa ni wewe una tatizo la uzazi nae akaanza kutangaza ungefurahia? i hope kwenye kiapo uliahidi kwa shida na raha utakua nae,kumbuka kiapo cha ndoa yenu.
  9. M

    Buguruni: Sherehe yageuka msiba

    Sawa jamaa hakua panya road,lakini ameuawa kwenye tukio la ujambazi? Aliuawa bahati mbaya au ndo alikua mzee wa kazi? Hebu tuweke sawa.
  10. M

    Ijue Wilaya ya Rombo kinaga ubaga na sifa zake

    We acha uongo,juzi tu zilipotoka ajira za ualimu kuna mtu kapangwa huko,analalamika sana hata hakufai,leo unasema walimu wakipangwa huko hufurahia mmhh
  11. M

    GWAJIMA atolewa ICU apelekwa wodi ya kawaida.

    Umeona,mpaka inabore na kuchosha.
  12. M

    Nataka kumuacha mke wangu

    sema ulikua unamtafutia makosa siku nyingi,kwa hiyo lilipotokea la kwenda kujifungulia kwenu ndo ukapata sababu,Acha gubu mtoto wa kiume
  13. M

    Nataka kumuacha mke wangu

    Ilikua ni lazima akajifungulie kwenu? kwa nini asingebaki kwake akajifungulia hapo? Wakati mwingine watu muwe mnawaza,hivi nikikwambia wewe na mama yako mnamnyanyasa huyo dada utakataa? kwa nini usikilize upande mmoja,kaa na mama yako pamoja na mkeo muongee muone shida iko wapi,mama zenu huwa...
  14. M

    Boss wa Leopard tours ajikuta akiropoka jinsi alivyomsaidia mhalifu

    Ushauri mzuri sana,ni bora kutafafuta kazi kwingine.
  15. M

    Boss wa Leopard tours ajikuta akiropoka jinsi alivyomsaidia mhalifu

    Mhh hizi habari za leopard sasa mmhh,mbona malalamiko hayakuwepo mlipokuwa kazini? Mleta mada samahani kama ntakukwaza,hivi huyu uliyesema kuwa alitukanwa huoni kuwa umemdhalilisha huku mtandaoni?Je ingekuwa ni wewe mtu ameleta habari zako huku ungejisikiaje?
  16. M

    Leo sitaongea; nitaacha picha ndizo ziongee!

    mhh sina cha kuongea.
  17. M

    Nauza line ya M-PESA

    Kwa nini unauza hiyo line?
  18. M

    Nauza line ya M-PESA

    Mkuu, sio upuuzi, kumbuka haba na haba hujaza kibaba.
Back
Top Bottom