Search results

  1. Alfred Daud Pigangoma

    Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Ni ile ile uliyotumia mwanzoni wakati wa kujaza taarifa za kuomba mkopo.
  2. Alfred Daud Pigangoma

    Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Ni ile uliyopatiwa kutoka RITA inayoishia na -BV ipo kwenye akaunti yako ya RITA uliyotumia kutuma cheti cha kuzaliwa ili kithibitishwe.
  3. Alfred Daud Pigangoma

    Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Rudi tu usichoke! Ukishaweka ile verification code ya RITA utaona jina kamili la muhusika limetokea kwa chini hapo ujue tayari unaweza kuendelea na hatua nyingine.
  4. Alfred Daud Pigangoma

    Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Sijajua kama kuna room ya kuweka supporting document. Ukisha upload signed appeal form hakuna sehemu ya pili ili uweze kuweka hiyo document. Mie imenitokea hivyo.
  5. Alfred Daud Pigangoma

    Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Hakuna barua ya mtendaji inayohitajika kwa sababu huwezi kui upload.
  6. Alfred Daud Pigangoma

    Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Hapana unajaza namba zile zinazotolewa na RITA zinaishia na -BV
  7. Alfred Daud Pigangoma

    Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Hii hapa mie nilikamilisha kwa kijana wangu.
  8. Alfred Daud Pigangoma

    Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Fomu uta download baada ya kujaza ili uweze kuisaini.
  9. Alfred Daud Pigangoma

    Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Baada ya kuchagua sababu ya kukata rufaa unatakiwa ku download fomu ambapo utaweka saini na tarehe tu kisha utai upload.
  10. Alfred Daud Pigangoma

    Appeal za HESLB kwa waliokosa mkopo ipoje?

    Nakumbuka hata mimi ilikuwa inaniletea majibu kama hayo ila nikajaribu zaidi ya mara nne kisha ikakubali.
  11. Alfred Daud Pigangoma

    Hali si shwari Bodi ya Mikopo (HESLB)

    Hii ni ya muendelezo au ya mwaka wa kwanza?
  12. Alfred Daud Pigangoma

    Update Bodi ya Mikopo ya elimu ya juu!

    Wakiandika hivi maana yake wametoa fedha za Meals & Accommodation na Tuition fee!? Vipi ada?
  13. Alfred Daud Pigangoma

    Chuo kikuu wanaweza kumpokea kijana bila Results Slip?

    Wadau! Naomba wenye uzoefu waniambie kama itawezekana mtoto kupokelewa Chuo Kikuu mwaka wa Kwanza akiwa hana Cheti cha Matokeo (Results Slip). Karibuni, Pigangoma
  14. Alfred Daud Pigangoma

    Mkuu wa Shule kukataa kutoa Result Slip Certificate kwa Mzazi wa mtoto!

    Wadau salaam! Hivi karibuni nimehitaji kupatiwa Chti cha matokeo ya Kidato cha Sita kutoka kwenye shule ambayo mtoto wangu amemaliza. Cha kushangaza nikimwambia Mkuu wa shule anipatie cheti hicho akagoma na kuniambia lazima aje mtoto ndio ampatie licha ya muonesha vielelezo kama kitambulisho...
  15. Alfred Daud Pigangoma

    Tatizo la upokeaji wa maombi ya wanafunzi Elimu ya Juu

    Same to me! Ina load usiku kucha leo ni siku ya nne bado ina load!
  16. Alfred Daud Pigangoma

    Kuscan fomu za bodi ya mikopo kutumia CamScanner ina madhara?

    Kwa sasa unapaswa kujaza fomu online sizani kama wanapokea za kujazwa manual! Tembelea website ya bodi ya mikopo Tanzania ili ujisajili na kuanza kujaza fomu huku ukipambana na changamoto za kimtandao!
  17. Alfred Daud Pigangoma

    Tanzania na Matukio ya Kushitukiza ili Kuzubaisha Taarifa Muhimu!

    Wanajamvi Heri ya Pasaka! Nimekuwa nikifuatilia kila panapotakiwa kutolewa taarifa yenye maslahi kwa nchi yetu pendwa Tanzania panatanguliwa na taarifa zenye taharuki na mshtuko. Hivi karibuni kumetokea taarifa ya takwimu za Ushoga na Usagaji zilizosomwa mbele ya viongozi wa ndini...
  18. Alfred Daud Pigangoma

    Dkt. Harrison Mwakyembe ajilipua suala la Ushoga; Kukabidhi jina la Mwenyekiti wao kitaifa na mikoa kwa Serikali

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Atakuwa bhasha! [emoji13] [emoji13]
  19. Alfred Daud Pigangoma

    Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

    Alitubu wapi? [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Bora hata mara mia Mzee Ben alitubu kwa kuandika kwenye Kitabu pia mbele ya watu wakati wa uzinduzi wa Kitabu! Ila Jiwe hadi anakata Roho wapambe wake hawakuamini kama jamaa anadanja! [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Back
Top Bottom