Search results

  1. M

    Dr Hussein Mwinyi awe rais wa Tanzania 2015

    Tunaheshimu mawazo ya kila mtu lakini namuunga mkono kwamba hii thread inalenga kuwawafanya wana JF waache kuchangia hoja za msingi Maoni yangu hoja kama hizo zisiwapotezee muda tusonge mbele kwa yaliyo ya msingi zaidi.
  2. M

    Mengi awataja wanaompa kiburi

    Lakini ni vyena tukapambana na hao vinara wa juu wa ufisadi na kuweza kuelimishana hadi mitaani kuwa ufisad ni matumizi mabaya ya rasilimali na jasho letu vinavyotumika vibaya na wachache wanaodhani sisi wengine ni mambumbu then tujipange kuchague Viongozi watakao tusaport. Na watakao kuwa ma...
  3. M

    Subash Patel: Press Conference!

    Tunacho hitaji ni kuwaweka hadharani manyangumi na mapapa ila kauli ya vitisho vya kutokalika itatufanya tukuwekee alama za (???????)
  4. M

    Jedwali la Mengi: Nani hayumo?

    Labda kama kuna riport tofauti za Mwakyembe na DK.Slaa ambazo zimtaja RA. na si RM si vibaya ukinikumbusha.
  5. M

    Jedwali la Mengi: Nani hayumo?

    Kama mambo ndiyo haya Mafisadi wana mtandao wa kutisha sana, kama kawaida ya wanasiasa wakitaka kupoteza ushahidi wa hoja zinazo wabana wanaanzisha hoja tofauti. Huu ni mwaka wa kupambana na ufisadi kivitendo na kuwaumbua. Wembe uleule wana jamii.
Back
Top Bottom