Search results

  1. butron

    Kafulila: Kwa miaka mitatu Rais Samia amekopa nje TZS 12.5T sawa US$ 5BL lakini amelizalishia Taifa TZS 47.5T sawa na US$19BL

    Takwimu za serikali ya Tanzania mimi huwa siziamini sana,nyingi za kubumba,nadhani ata World bank na IMF kipindi fulani walishatilia shaka taarifa za kiuchumi za Tanzania. Kwa mfano sasa hivi wanakwambia mfumuko wa bei ni zaidi ya 3% lakini ukija kwa street mambo ni tofauti sana!
  2. butron

    Ujio wa DP World: Bandari za Tanga na Mtwara Wanahusikaje? Tuliambiwa ni Dar tu tena gati tatu

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. butron

    Mnyika: Mapambano yamewezesha Faye kushinda Uchaguzi wa Rais Senegal, November 2023 nilikuwa Senegal kusaidia Harakati za Upinzani!

    Sasa wao nguvu za kukaa mezani na CCM kujadili mambo yasiyowezekana kwa CCM ni nini!!
  4. butron

    Upinzani Senegal kuelekea ushindi, tunayo ya kujifunza?

    Uku kwetu wapinzani wana ibembeleza CCM na serikali yake iandike katiba mpya!! Yaani badala ya kuhamasisha Wananchi kiikataa CCM ili kuchagiza Mapinduzi ya kisiasa ili baadaye CCM iking'oka ndipo tuandike upya katiba ya nchi yetu. Yaani ni sawa na kumbembeleza shetani akubali kuacha kitabu...
  5. butron

    Inawezekana tuna watu wasio na uwezo katika nafasi wanazozitumikia?

    Suala la Samia kutokuwa na taarifa au kutaarifiwa juu ya afya ya Rais Magufuli ni uwongo!! alikuwa anajua kila kitu,wanatuzuga tu!
  6. butron

    Sugu ameachwa mbali na Dkt. Tulia katika kila kitu, ni vema akubali ushauri wa kugombea Ubunge Makete au Ubungo

    Tulia aende Busokelo au Rungwe,pale Mbeya mjini ni pagumu sana kwake labda wapindue meza kama 2020!
  7. butron

    Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

    Yoga anasema Mama alitoka Tanga kuja kuapishwa Dar akiwa na Briefcase maalumu ya watu wanaotakiwa kuteuliwa!!
  8. butron

    Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

    Waliokataa Samia kuchukua nchi mpaka sasa naona walikuwa sahihi 100% maana hali ya maisha ya Wananchi kitaa siyo poa kabisa!
  9. butron

    Prof. Mbarawa: Treni za SGR ni za mwendo wa kawaida (siyo mwendokasi)

    Kaka yake na Samia mtata sana! Walivyoanza kuingiza vichwa used pale ndiyo nilianza kujua kuwa hii project ni white elephant!
  10. butron

    Martin Maranja Masese amchambua Hayati Magufuli (JPM) mwanzo mwisho

    Yeye mwenyewe kachoka,huu mwaka akimaliza sijui!
  11. butron

    Martin Maranja Masese amchambua Hayati Magufuli (JPM) mwanzo mwisho

    Mbona hajaandika mazuri yake ili stori yake iwe na uzani uliokamilika!
  12. butron

    Msaada wa chakula toka USA ni kuichafua Tanzania

    Virutubisho vyenye chembechembe za upinde hatutaki! Uyu Bibi bila kufanya utaratibu wa kumuondoa kwenye kiti Kuna siku tutajuta!
  13. butron

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Hakuna serikali isiyoua Duniani,ata kwa Samia ukijicganganya TISS wanakumaliza asubuhi tu! Tanzania hakuna Rais ambaye hajawai kuua wapinzani wake!
  14. butron

    Hayati Magufuli alikuwa Nabii katika angle zifuatazo

    Alikuwa anaongoza watu useless kama wewe!
Back
Top Bottom