Search results

  1. Oloronyo

    Mtuhumiwa wa EPA (Maregesi) yupo hoi Hospitalini

    Habari kutoka katika chanzo cha UHAKIKA zinadokeza kuwa yule kigogo maarufu katika kesi ya EPA yupo katika COMA kwenye hospitali maarufu jijini mwenye habari zaidi uwanja ni wako!
  2. Oloronyo

    Asilimia 50% ya wanandoa wanaishi maisha ya upweke

    Eeero Pdidy,inaonyesa leo ina msuka sana? Taangia usiku wa manane unaansisha sread nyiiingi,Kiibodi za Komyuta yako zitakuwa zimekoma sasa eeh!
  3. Oloronyo

    TTCL CEO awe Kevin Twisa

    Twisa a markerter? Or Twisa a Deejay?
  4. Oloronyo

    Kujamba

    Nyani Ngabu unabeep eee?
  5. Oloronyo

    Mnyange Aminata Keita ajifanyia Kitchen party

    Nilimpenda sana Aminata enzi za unyange wake,alikuwa mzuri sana,Aminata Keita mnyange wetu alinimwaga na kukimbilia mabesela ya hatari tena mbalimbali Aminata.
  6. Oloronyo

    Mnyange Aminata Keita ajifanyia Kitchen party

    Tangu lini original Maasai akawa BWABWA? Acha bwana\Bibi. Nasema Piriodi
  7. Oloronyo

    Mnyange Aminata Keita ajifanyia Kitchen party

    Umbea SUNNA babuuu
  8. Oloronyo

    Mnyange Aminata Keita ajifanyia Kitchen party

    Aliyewahi kuwa Mnyange maarufu wa enzi hizo,Bi.Aminata Keita hivi sasa ninapoleta habari hizi anajifanyia chicken\Kitchen party yake mwenyewe maeneo ya K,nyama Mabatini,baadhi ya marafiki zake wamedai baada ya mnyange huyo kupiga "Besela"za mara kwa mara kwa kutapeleliwa na wanaume wa mujini...
  9. Oloronyo

    Mc Mdachi awaangusha Maharusi katika Swimming pool

    Maharusi, wazazi wazama bwawani wakikata keki na Betty Kangonga MAHARUSI pamoja na wapambe wao usiku wa kuamkia mwaka mpya, walijikuta wakizama katika bwawa la kuogelea jijini Dar es Salaam katika harusi iliyohudhuriwa na baadhi ya vigogo. Vyanzo vya habari vimelipasha Tanzania Daima...
  10. Oloronyo

    Hatimaye HITS Tanzania wakubali kufulia...

    Nashukuru kwa yote mazuri mliyoyataja hapo juu sisi bado tupo Kazini, Wewe uliyeleta Mundiko huu eti Mara ooooh tumefulia,waaapi?Bado tupo sana sana,nyie mlie tu Hits haifi na haitakaa ife nyooo. Waoneni.
  11. Oloronyo

    Fred Liundi abwaga MANYANGA HiTS.

    Nitaombaje HiTS IFE wakati mimi nipo hapa hapa HiTS?
  12. Oloronyo

    Fred Liundi abwaga MANYANGA HiTS.

    Hayawi hayawi sasa yametimia baada ya kiongozi wa mauzo Fred Liundi mzalendo pekee aliyebakia na aliyetazamwa na wazalendo wengi kama tumaini la waliobakia kubwaga manyanga katika kampuni ya simu za mkononi HiTS kwa sasa wafanyakazi wa kampuni hiyo ambao hawajapata mshahara wa mwezi wa sita...
  13. Oloronyo

    Familia ya teketea kwa moto

    Very sad indeed! Mmoja wa mtoto wa familia hiyo,ambaye hakuwepo kwenye tukio anafanya kazi Zain Customer care operation na anaitwa Aneth. Pole sana Aneth Mungu akupe nguvu ya kuweza kukabiliana na msiba huu mzito.
  14. Oloronyo

    Franco Mtui apooza mwili mzima

    Dilunga umenkuna! Yaani watu oooh, hujafa hujaumbika,ooooh tema mate chini,oooooh una-beef! Kuweni makini sana na kutundika mapicha yenu mimi nimesikitika sana lakini bila P's asingefikia alipo. HILO NALO NENO.
  15. Oloronyo

    Franco Mtui apooza mwili mzima

    Kama alivyosema Mt.Dilunga kama unapenda Privacy usikubali ukatundikwa katika Blog yoyote duniani,samahani kama nimewakosea,ila Source ya yote yaliyotokea ni P's.
  16. Oloronyo

    SasaTel (Dovotel) kuzinduliwa tarehe 15 June.

    Ni kweli kuwa lazima ununue HANDSET kwani Line zao (CHIP) huwezi kuweka katika simu za GSM nikimaanisha lazima HANDSET iwe ya CDMA shughuli ndio inaanzia hapo,ila kuna simu zao zina Line 2 yaani GSM na CDMA Duuuh kazi kweli kweli.
  17. Oloronyo

    TANZIA Bi. Nasma Hamisi Kidogo Afariki dunia

    Mtakatifu Exaud J. Makyao bado haujapata hisia? Maana bado haujatoa pole. Je ulitaka nani athibitishe?
  18. Oloronyo

    TANZIA Bi. Nasma Hamisi Kidogo Afariki dunia

    Yule Nguli wa miziki yenye mahadhi ya Pwani yaani Taarab amefariki dunia,Jijini Dar. Hii ni kwa mujibu wa mtangazaji wa Leo tena wa Clouds FM Dina Marios. Nasma Hamisi 'Kidogo' amefariki dunia juzi usiku katika hospitali ya Temeke jijini Dar. Kwa habari za uhakika zilizopatikana kutoka kwa...
  19. Oloronyo

    Simama imara kama simba,makelele wasikutishe Kennedy Otieno!

    Huyo Kennedy Otieno simjui ila wimbo huo sio wa Akudo bali ni Single ya Patcho Mwamba pamoja na Tarsis Masela,WOS Kuna jamaa anaitwa Zagreb Butamu sura ya mvuto sauti ya biashara! Duh nampenda sana huyo jamaa anajua kuimba sana.
Back
Top Bottom