Search results

  1. N

    Waagizaji mafuta: Kwanini Wahindi na Waarabu peke yao?!

    Kama kawa badala ya kujibu hoja umekimbilia ubaguzi......atleast I have balls kuandika jina langu.....wewe Zinedine ni jina la babu yako I doubt more likely Karumanzira.......dont be shy bout ur name dude........Nipinge kwa hoja.....sio kwa rangi.......Ndio maana nchi haiendelei......unajenga...
  2. N

    Waagizaji mafuta: Kwanini Wahindi na Waarabu peke yao?!

    Why being racist......ni suala la kufanya biashara with 100% commitment.......wanaowauzia mafuta dealers wa Tanzania ni International Energy agencies ambao hawaangalii rangi yako bali pesa yako......pili EWURA hawakatai kumpa mtu leseni kama una plan yako as kwao wao wanazidi kupata hela ya...
  3. N

    Wabunge wazoa Sh 90mil kila mmoja kujinunulia Magari

    Ndugu yangu I do agree, lakini unajua hata Slaa sio mpaka asubiri support, nakumbuka katika suala la nyongeza ya mshahara Slaa alikuwepo kwenye kamati when its decisions of increment for MP's was put into effect basi yeye ndio aliposema ohhh mishahara hii ni mikubwa sana.......tunakubali...
  4. N

    Wabunge wazoa Sh 90mil kila mmoja kujinunulia Magari

    Kaka naona I want to say something....kama wewe ni kiongozi usitupe maneno tu, toa mfano....hivi wabunge wote wa CHADEMA wakasema that 90 million kila mmoja wao hawatazipokea kununulia magari......dont you think it will put pressure on wabunge wengine...kuna mbunge mmoja wa Kenya aliwahi...
  5. N

    Hivi Hii Ya Marando Imekaaje?

    Wanasheria wana haki ya kudecline client au kuaccept, ukitaka kujua nenda kwa mkono ambaye hachukui croiminal cases only with exceptions kama za ditopile....swali langu kama jamaa akiona profession ni muhimu kuliko wananchi then inabidi Aache siasa kwani leo manji kesho rostam atabisha hodi...
  6. N

    Hivi Hii Ya Marando Imekaaje?

    [/I] Ndugu Mtemi, Tufanye kwamba ungekuwa "criminal lawyer", je ungekuwa unatetea watu wa namna gani? wezi, wauaji, wabakaji? maana hao wote ungewachukia, ina maana basi ungeacha kazi ya uwakili. Kumbuka kuwa hawa akina manji, na wengine wengi wanaotajwa kwenye media, kisheria ni...
  7. N

    Hivi Hii Ya Marando Imekaaje?

    Tatizo sio proffesion tatizo ni ethics na moral kumtetea manji, swali langu ni kuwa marando akiambiwa na rostam nenda kanitetee dowans au issue yoyote hapo wadau mtasemaje.....watu wanajibu kwa ushabiki wa vyama but bottom line practise what you preach kwa hiyo wanaomtetea marando kwa kivuli cha...
  8. N

    January makamba aanzisha SMS na wananchi wa Bumbuli

    Tatizo ni kwamba mbunge asipotoa anaonekana he aint doing anything na 2.5 billions zikitoka mnasema aint right pia, by the way hiyo inaitwa philanthrophy kama wewe unaona hilo ni tabaka jipya basi lina unafuu kuliko wale wanaokaa majukwani wanapiga kelele majimboni hawafanyi la maana charity...
  9. N

    Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF

    The answers are biased...ukishakuwa mwanasiasa your every move becomes scrutinized....so kwa sababu kuna wezi wa EPA,dowans na etc haimaanishi issue hii isijadiliwe....na pia sio receivership ya kwanza kuwekwa gazetini ... Nishawahi kuona tangazo la interchem pharma ya mengi family hence...
  10. N

    Msekwa sikubaliani na wewe. Tunaweza kuwa na katiba inayozuia kuwa na viongozi wabovu

    Ndugu yangu hebu angalia kenya wamepata katiba mpya lakini wat happened politicians wamebadilika rangi hawataki kwenda icc na kitu cha pili je katiba yao mpya imebadilisha mawazo ya ukabila the answer is a big no ukiangalia ile famous triple k gathering together kamba kikuyu na kalenjin in form...
  11. N

    Msekwa sikubaliani na wewe. Tunaweza kuwa na katiba inayozuia kuwa na viongozi wabovu

    Katiba mpya inahitajika zaidi ili kukidhi mahitaji ya wananchi kupata maendeleo haraka zaidi lakini pia kuwepo na mabadiliko ya tabia za viongo- waliopewa dhamana wasitumie kwa manufaa yao mfano wewe ni ceo wa tanroads halafu una approve projects zisizokuwa na tija kwa taifa bali zina manufaa...
  12. N

    Kikwete: Serikali yangu inapinga Bw. Gbagbo kung'ang'ania madarakani!

    Kaka sometimes fans are not ready kusikia wat they don't want to hear ndio maana watu wamekazania their conspiracy theories which are not backed by facts n figures
  13. N

    Maoni ya wananchi: Suluhu ya msongamano wa magari jijini Dar es Salaam

    Leo nimetoka home MAkumbusho saa moja na robo nimefika kazini Vingunguti saa tatu na nusu......Its terrible........Everyday nafikiria nikipata uwezo au kazi nyingine nihamie mji mwingine kwa sababu Serikali inaoneakana haijaona tatizo hilo.......badili ya V8 ambazo wanatumia viongozi wetu...
  14. N

    Mwakyembe na Sita Mpo wapi Mtusaidie Suala la Dowans?

    Waberoya hivi huangalii ni viongozi wengi sasa hivi wanaosema vitu kufurahisha jamii lakini ndio hao hao wanaokula sahani moja na vigogo katika kugawana keki ya utajiri wa nchi hii.......Mimi i even wonder media propaganda ya kumfanya Sitta aonekane is like a hero wa kupinga ufisadi......well is...
  15. N

    DOWANS yaibwaga TANESCO; TZ kulipa gharama na adhabu Bil. 185!

    Hii nchi sijui itabadilika lini........yaani apart from hii hukumu ya DOWANS vs TANESCO.......bado ukweli upo pale pale kuwa shirika la umeme TAnzania is really not profit oriented na kama sio subsidies za Serikali ishakufa zamani......yaani najiuliza TANESCO, TRL, ATC na NBC...
  16. N

    Diversity in Tanzania: Where are the Asian, Arab, European-Tanzanians?

    Pasco......nitakuambia kitu kingine ambacho nimefikiria na nikiweke wazi.....wazazi wetu wengi wamekuwa reluctant kwa sababu moja naamini tofauti na sisi ambao tumeshaamua kuwa nitakufa Tanzania na thats where I call Home........Nationalization iliwakuta wahindi wengi pabaya.......mimi...
  17. N

    Diversity in Tanzania: Where are the Asian, Arab, European-Tanzanians?

    Unajua kaka mimi nataka ifanyike sensa ili tujue hasa percentage of ethnic minority......mimi nilikuwa nina degree yangu tena nimesoma nje ya nchi.....nikawa nalipwa below half a million........halafu nakutana na mshikaji ambaye analipwa hela zaidi kuliko mimi tena ni form four...
  18. N

    Diversity in Tanzania: Where are the Asian, Arab, European-Tanzanians?

    Kaka mimi ninafanya kazi na watanzania mia nne sijasiki mtu akiomba ruhusa kazini anaenda kumsikiliza Mpendazoe au Mahanga wakati ndio walikuwa wagombea jimboni tunapofanya kazi..........Jiulize ni wangapo wanaoenda kwenye mikutano.........kupiga kura tu watu walikuwa chini ya asilimia...
  19. N

    Diversity in Tanzania: Where are the Asian, Arab, European-Tanzanians?

    Pasco.....ninataka upanue mawazo yako kidogo........hivi hizo tenda za Rada, za ID, na zinatoka Serikalini........lakini unafikiri wanaotoa hizo tenda ni nani Wahindi au........Mimi ni MTanzania kama wewe mwenye uchungu na nchi hii kama wewe.......nimezaliwa Bongo.......siijui India ilivyo so...
  20. N

    Diversity in Tanzania: Where are the Asian, Arab, European-Tanzanians?

    Mwanakijiji, I tend to agree kuwa ethinc minority are sidelined somehow,.......mimi ni mtanzania mwenye asili ya kiasia.....na nimezaliwa magharibi mwa Tanzania na nimekulia katika shule za serikali za Tanzania.....lakini nakubali sijawahi kuwaona mapolisi waasia na pia nafasi zingine za public...
Back
Top Bottom