Search results

  1. B

    TAMISEMI, Mfumo wa Usajili wa Leseni za Biashara (TAUSI) utarudi lini?

    Habari, Ndugu zangu TAMISEMI habari zenu! Tunapenda kujua kwanini mfumo wa usajili wa leseni za biashara (TAUSI) haufanyi kazi tangu wiki iliyopita kwanini? Lini mfumo huu utarudi na kuanza kufanya kazi tena? Kuna watu wamekwama wanahitaji leseni kwaajiri ya maswala ya kibenk nk, sio kwaajili...
  2. B

    Throwback Thursday

    Huu wimbo nahis ni kutoka Kenya Natamani kujua unaitwaje na kaimba nani, help please
  3. B

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Wawil Tunaendana
  4. B

    Shule za olevel Tanzania

    Hello habar wadau, naomba kujua ni shule zipi za olevel zenye boarding iwe ya Boys au mchanganyiko hususan Kwa mikoa ya Dodoma na morogoro. Natanguliza shukran za dhati
  5. B

    Kazi nilizowahi zifanya na zikanishinda kwenye utafutaji

    Daah si mchezo jamaa, [emoji23][emoji23]
  6. B

    Kongwa: Mama mwenye mtoto afariki kwenye ajali ya basi la Baraka classic. Ndugu hawajapatikana, mtoto achukuliwa na msamaria

    Ndugu wadau. Kuna Ajali imetokea jana ya basi linalofanya safari zake Dodoma Mtwara liitwalo Baraka classic. Ajali imetokea katika kijiji kiitwacho Pandambili kipo katika wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma. Basi lilipinduka na kuua watu watatu akiwemo mama mmoja aliyekuwa na mtoto apataye umri wa...
  7. B

    Je, inawezekana mtu akalala na mwenye UKIMWI tena peku na asipate UKIMWI?

    Daah,MUNGU mkubwa nimetumia wiki mbili kusoma page zote na kumaliza,zaid nashukuru kwa elimu bora niliyoipata kutoka katika uzi huu Big up Deception live long!
  8. B

    V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

    Hiv mkuu Deception bado yupo au kapotea?
  9. B

    Kuku wangu wanavimba macho

    Upungufu wa vitamin A husababisha kuku kuvimba macho lakini pia mafua makali husababisha kuku kuvimba macho!
  10. B

    V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

    Hii mada ni moto hasa nimefanikiwa kusoma page zote,lakini bado maswali lukuki hayaishi kichwani!
  11. B

    Sioni sauti ya Watumishi wa Umma katika Bunge lijalo

    Wamechukua tena,tena 100% ni wao upande wapili hawataingia bungeni hao wachache waliopewa, Kumbukumbu hazionyeshi kama kuna mbunge wa Kati ya hao watakao ingia kama alishawahi kuibana serikali kuhusu maslahi ya wafanyakazi hata kuhoji tu kuhusu watumishi wa umma! Siioni sauti yoyote kuhusu...
  12. B

    Waliosona shule kongwe Ndanda boys high school jitokeze apa

    No Manchester hall ulikuwa ni kwaajili ya lecturing upo umezungukwa na madarasa wa disco upo juu karibu na mabweni ya sheraton unaitwa mv bukoba Sent using Jamii Forums mobile app
  13. B

    Waliosona shule kongwe Ndanda boys high school jitokeze apa

    Tulikula maharage mabovu siku kadhaa,tatizo la maji ila issue kubwa ilikuwa ada kubwa ya kufanyia mock waliyoiweka walipokataa kupunguza ndio ikawa shida!
  14. B

    Waliosona shule kongwe Ndanda boys high school jitokeze apa

    Wazee wa kudaunika mwena, mkalapa, madeko kupitia dochi vele Nilikuwepo 2006-2008 walikuwa wananiita decay master bingwa wakuhifadhi viporo, kulikuwa na mwalimu mlevi balaa nimemsahau jina, juma kiwone namkumbuka,milinga alitokea mahiwa sec tulimuondoa kwa mgomo .
  15. B

    Usiombe kwenda Bayport kuomba loan balance

    Bayport ni janga kubwa Sana hawa hawastahili kabisa kufanya Huduma za kifedha mimi hao sina hamu nao walichonitenda, natamani kungekuwa na kampeni ya Wafanyakazi nchi nzima ili kuwapiga vita, yaani kiufupi Bayport ni MATAPELI!
  16. B

    Wafanyakazi pitieni hapa!

    SERIKALI YA JPM YABORESHA MASLAHI YA WAFANYAKAZI. Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Walemavu) Jenista Mhagama ameliambia bunge kuwa serikali ya awamu ya 5 imeboresha kwa kiasi kikubwa maslahi ya wafanyakazi nchini. Amesema maslahi ya wafanyakazi yaliboreshwa...
  17. B

    Serikali pesa za elimu bure kwa mwezi Oktoba hadi lini?

    Kuna shule ya secondary naidai pesa kidogo kutokana na kazi niliyowafanyia kwa makubaliano ya kulipwa kupitia fedha za elimu bure pindi zitakapoingizwa kama ulivyo utaratibu, Makubaliano ilikuwa kulipwa kupitia pesa ya elimu bure ya mwezi October itakapoingizwa na serikali kwenye account yao ya...
Back
Top Bottom