Search results

  1. N

    Hongera Maulid Kitenge na Nusrat Hanje kufunga ndoa

    si mdogo sana kama wengine wanavyofikiria
  2. N

    India inatoa huduma bora ya afya au ni kipato cha Watanzania hakimudu gharama za kutibiwa mataifa mengine?

    Taratibu zikoje ili kumpeleka mgonjwa India...Wanapokea bima zozote? gharama za hospital na malazi zinapatikanaje na hospital zipo miji ipi?
  3. N

    Wabunge matajiri wafanyabiashara, wanasimamia Maslahi ya akina nani bungeni?

    Mwalimu hana uwezo wa kushinda kampeni, kama hana chanzo cha ziada cha kuwapa wapiga kura, kuanzia chama chake cha siasa na gharama za uchaguzi zilivyo..... Siasa ni uwekezaji sasa , hakuna cha kutumikia wananchi au nini
  4. N

    Kwa nionavyo, Wakili huyu hatakuwa na mwisho mwema kiroho

    Mkuu naomba unitumie dm hiyo nakala ya hukumu au inapatikana wapi?
  5. N

    Vijana tusing'ang'anie Dar

    Mavuno ya mpunga yatakuwa kuanzia lini kwa msimu huu 2024/2025?
  6. N

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kitunda, Dar es Salaam

    kiko Kitunda maeneo gani? na bado Kipo??
  7. N

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kitunda, Dar es Salaam

    Kiko Kitunda maeneo gani? Na bado Kipo??
  8. N

    Haya ndio magari chaguo langu

    Umeongea hoja kabisa. Humu mitaandaoni kuna kutishana kusiko na sababu na mwingine anakupa ushauri kumbe kasikia tu mahali, hana uzoefu wowote.. Nilishwa kuhusu Nissan .. Ninayo mwaka wa nne, service naweza fanya nikikumbuka haizidi mara mbili kwa mwaka , na nadunda nayo vizuri.... Fuata gari ya...
  9. N

    Kuhusu madai ya Mayele kutupiwa majini vs mganga huyu we kienyeji kutoka Kusini mwa Tanzania

    Umeandika kitu halisi..... Watu wengi wanasahau utukufu wao, huwa unaambatanishwa na pale ulipo na ndio maana, swali unaambatana na nani ni la msingi sana....
  10. N

    Wamisionari waliofika Tanganyika walikuta watu wamestaarabika na wanajua kusoma na kuandika

    Mimi nikionaga andiko la huyu Mohamed Saidi ... Najua haendi mbali na udini, na hawezi kutoka humo kamwe.... Kunakuwa hakuna jipya
  11. N

    Hivi mnawezaje kutongoza wanawake wenye pesa?

    hadithi za alinacha na binti mfalme ..... Eti anakumbukia wimbo wa zali za mentali...
  12. N

    Mchumba wangu ameniuliza "Lowassa ndio nani?"

    Wewe naye chenga .. Umesema umeokoka lakini , ukataka kumla huyo binti kabla .. Yeye ndio kakataa... Mimi naona wewe ndio humfai huyo binti kwa kutamka unataka mzigo kabla ya ndoa, huku ukijua nyie ni walokole..Hata hivyo huyo binti au wewe wote mnafanya haraka mmejuana miezi miwili ! muda huo...
  13. N

    Wakati Kodi ikiongezeka kwenye huduma za kifedha, ni wakati sasa kufikiria kukata Bima ya Maisha

    Kwa mfano hii fanaka... Unaweza kukata kwa miaka kumi.... Lakini kama umepata tatizo, kwa mfano ndani ya miaka mitatu au chini ya hapo, hawawezi kukurudishia ile michango uliyochangia kwa miaka miaka mitatu... Au ukisema labda ulikuwa unachangia sh..300,000 sasa nataka kuchangia chini ya kiwango...
  14. N

    Wakati Kodi ikiongezeka kwenye huduma za kifedha, ni wakati sasa kufikiria kukata Bima ya Maisha

    Fanaka ina experience mbaya.. Kuna mtu namfahamu alikata fanaka product ya miaka kumi, ameenda kusurrender, mambo waliyomwambia ... Hawezi kupata hiyo hela yake aliyochangia kwa miezi 9
  15. N

    Pigo la mwisho kwa Thadei Ole Mushi: Katoliki wakataa kumzika kwa kuwa aliwapinga TEC kuhusu DPW

    Kanisa wakikataa kufanya swala la marehemu ni somo kwa waombelazaji na familia au marafiki husika, yeye keshaondoka siku nyingi
  16. N

    Mike Tyson na Evander Holyfield katika picha ya pamoja, nguvu ni kitu cha kuisha

    Nakumbuka nilikesha billicanas pambano la Tyson na Evander , nikiwa na manzi, tutoke hapo ndio twende kwenye mambo yetu ya msingi ya mahusiano, huko Msewe
  17. N

    Kusema kweli Magufuli alikuwa Rais bora kuwahi kutokea Tanzania

    JPM alikuwa kiongozi anaweza akasimamia jambo, akaonyesha njia ya kupita.... Matatizo ya kiuongozi tunayoyaona ni kukosekana kwa timu na kiongozi wa kuonyesha nini cha kufanya...
  18. N

    Msaada kwa mwenye utaalamu wa biashara ya juice fresh za matunda?

    Yes huko Branding, mambo ya tax , kodi na mengineyo..litigation nk... yaani mambo kibao unajaziwa
  19. N

    Msaada kwa mwenye utaalamu wa biashara ya juice fresh za matunda?

    Sawa nitacheki kama vitafaa, maana masoko ya hizi juisi ni huku lower end kwa sasa
Back
Top Bottom