Search results

  1. Z

    Lwakatare ajipanga

    Pole sana Lwakatare kwa kuifikiria kuwa siasa sawa na mchezo wa bao lakienyeji, siasa ni mipango na uzalendo wa wazi dhidi ya Nchi yako, Mambo yamekushinda tena yamekushinda kati kati ya mlima juu hufiki kileleeni hupaingii sasa subiri kuporomoka tena mporomoko usiokuwa na kizuizi na ukifika...
  2. Z

    Lowassa au Mwandosya kuwa Rais wa Tanzania 2015?

    Ama Kwa hakika hata nami ninamuamini Edward Lowassa, kuwa ni Kiongozi mwenye uwezo wa Kuiongoza Tanzania. Asivunjike moyo mimi nitachukuwa Bango lake na kumpigia debeeee kusini hadi Kaskazini na Mashariki hadi Magharibi ya Nchi yetu. Aluta Continuwa Komredi Edward Lowassa
  3. Z

    Mengi awaponda wanaomwandama

    Ushauri nasaha kwa Mzee Mengi Watanzania hatuna haja ya kutaka kujuwa Urafiki wake wa karibu na watokea zamani kwa Rais Kikwete sisi hautusaidiii ni yurafiki wenu na mnajuwana wenyewe au mtajuwana wenyewe kwani Mtaka nyingi nasaba hupata mwingi msiba wahenga walinena. Towa ushahidi Mahakamani...
  4. Z

    Dr. Slaa Unayajua Haya? Picha ya Chopa

    Dk Slaa hana jipya midhali mama watoto wake ni Diwani wa CCM, kwani sadaka huanza nyumbani au ulingano huwa mwanzo ndani mwako sasa yeye yamemshinda Kwisha hata 2010 hapo KARATU Slaa na CHADEMA yake watapasikia Redioni. Chama cha siasa hakiendeshwi kwa Ukabila wala Ukoo na Udini kama...
  5. Z

    Kikwete ana Hoteli ya kifahari Zanzibar

    Mheshimiwa mwacheni kumtia midomoni kila saaa na dakika jamani? Chuki hizo zote ni za nini kwakeeeeee, nimewauliza wazenji juu ya habari hii wanasema JK hana hata Kioski Zanzibar sasa haya ya hoteli jamani mmeyapata wapiii au ndio kuendeleza Chuki kwa Muungwana wetu huyu kwa ni wa pwaniiii...
  6. Z

    34,030 Euro kwa mtandao wa kuanika wala rushwa

    Hawa Wazungu ndio Mafisadi iko haja sasa Tuwafukuze Nchini Mwetu, hawana msaada wa aina yeyote, hawa ni Wahuni waliokuja kwa mlango wa Nyuma kupora rasilimali zetu na huku kulea Serikali ya CCM iliodhaifu na kandamizaji ijikite zaidi katika Madaraka. Mafisadi wanajulikana na wanatajwa kila siku...
  7. Z

    Ujumbe wa wazi kwa Mhe. Edward Lowassa: Uchaguzi ni wako

    Hivi tunasubiri nini sisi Watanzania kuongozwa na Serikali mbovu ya aina hii iliopo Madarakani? hivi hili JESHI limelala kiasi hiki Linashindwa Kuchukuwa Madarakaaaaaaa.
  8. Z

    Mahakama yalitia hatiani MwanaHalisi

    Maskini Saed Kubenea, Aliupanda kwa pupa Mchongoma sasa Kuushuka Nndio Ngoma. Yuko wapi Slaa? Zitto, Dj Mbowe, Tundu Lissu, na wengi waliokuwa wanakupa Mabomu Uripuwe sasa Limekuripukia Mwenyeo tena Usoni umeshasinyaa kwa ukaidi wako, haya basi nikuburudishe kwa kipande kimoja cha nyimbo za...
  9. Z

    Maswali kwa JK

    Tafadhali aulizwe yale Majengo ya Kifahari anayoyajenga Chalinze pesa zake kazitowa wapi? ikieleweka kuwa CCM haina sera ya UBEPARI na aeleze alipoingia Madarakani mali alizo nazo alizioredhesha na zinalingana na alizo nazo sasa
  10. Z

    Maswali kwa JK

    Tafadhali Aulizwe kuwa kuna dalili tosha ya Wazanzibari wote hawataki Muungano pamoja na Karume jee ataendelea Kuulinda Kwa Nguvu au atakaa chini kuandaa utaratibu wa KURA YA MAONI YA KITAIFA JUU YA MUUNGANO.
  11. Z

    Rais ajaye akitokea Bara

    RAIS akitokea Bara kwa Uchaguzi wa mwaka 2010 ni Mwiko, Lazima RAIS atoke ZANZIBAR kama haitokuwa hivyo basi siku hiyo hiyo ndio itakuwa MWISHO WA MUUNGANO UTAVUNJIKA VIPANDE VIPANDE.
  12. Z

    USD 1200 kwa kila Mzanzibari!

    Kosa kubwa alilolifanya Marehemu Mzee Karume ni Kuchukuwa Nchi ya Watu Waungwana na Kuwaunganyisha na Watu wasio na Utaratibu wowote. Kwa kosa hilo alilolifanya Karume akiwa sio raia wa Zanzibar leo kwa kipindi kirefu limeleta Maumivu makubwa sana kwa Wazanzibari kwani hivi sasa wamekuwa ni...
  13. Z

    Yusuf Manji amshitaki Reginald Mengi, adai fidia Sh1/-

    Mengi kazi kwako sasa kama ulivyo likoroga ndivyo utakavyolinywaaaaaaa
  14. Z

    Wahanga wa Mlipuko wanalala wapi leo!

    Hivi huyu Waziri Mkuu PINDA yuko wapiiii? naona sikumuona kuwa karibu na Wahanga wa Mabomu au hana habariiii? au Kasafiri, ikiwa hakusafiri na yuko DODOMA ni Bora Kesho akatangaza Kujiuzulu kwa sababu hana maana, niliemuona yuko mbele ni LUKUVI, KIMBISA hawa wako na Watu, Rais wetu tunajuwa kuwa...
  15. Z

    April '09 Bomb Blasts in Dar (Mbagala) and responses

    Ndugu zetu Mkoje huko Dar, tupeni taarifa nyoyo zetu zimeturuka hatuwezi kula wala Kunywa ni msiba kwa Wanyonge
  16. Z

    Mwitikio wa Serikali na Wengine juu ya Mengi kutaja mafisadi!

    Ufisadi unatumaliza na ni uadui Mkubwa kwa Nchi yeyote iwe Imeendelea au imo katika Kuendelea kama yetu hii Tanzania. Kilio cha Ufisadi ndani ya Nchi hii hakikuanzwa leo ni kwa siku Nyingi na Mtu ambae kwa Upande wa Upinzani alieushupalia Kuuanika Ufisadi tokea katika awamu ya Mkapa ni...
  17. Z

    Karume amekacha sherehe za Muungano?

    Masikini rohoyakooooo walllahi hii nnakuchekaaa hivyo kwa fikira zakooo hahaa haaaaaaaaaaaaa unadhani nakutakaaaaaa haaaaaaaaaaaaaaaaaa hukijui cheo chako mimi nichokuwekaaaaa
  18. Z

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?

    Kwani faida yakuwa na idara ya hali ya hewa sio kujuwa taarifa zote za mwenendo wa hali ya hewa kila saa na dakika? hivi idara haikujuwa tokea jana au juzi kuwa mvuwa zitamwagika kwa wingi visiwani ili wao wampashe taarifa Mkuu wa Nchi ili atangulie siku moja kabla ya Sherehe? Leo Muungano...
Back
Top Bottom