Search results

  1. D

    Mume dhehebu tofauti na mke dhehebu tofauti

    Wasabato husoma sana Biblia, kwa hiyo mshauri huyo bwana akae chini asome biblia. Aitafakari vizuri ajue ni kitu gani kimemshawishi mke wake kuhamia sabato. Wako wengi walifanya hivyo. Hata kama walikuwa dini moja na mume wake, halafu mke amepata ujumbe wa wasabato ukamkolea itakuwa vigumu...
  2. D

    Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Wanawake wachache sana ambao mtu akiwa na pesa watakataa kumpa penzi, hata kama wanajua ameoa. Jambo la ajabu kabisa
  3. D

    Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

    Wanawake wazuri wako wengi tu kwanini uhangaike na msaliti. kwanini uumize moyo wako bila sababu. Achana naye, tafuta wengine yeye aendelee na hao wanaommega, kwa sababu wameshakushinda uweze. Uking'ang'ania watamega hata akiwa mkeo
Back
Top Bottom